Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

Always unaambiwa kuwa na very close observation ya mgonjwa anayeongezewa damu hasa mwanzo damu inapoanza. All in all tukubali kuwa tumempoteza Mama kwa uzembe wa watumishi wenzetu kufanya kazi kwa mazowea
Wewe ni daktari mpumbavu sana....unajua BT ngapi zinafanyika nchi nzima kila siku?...lini umesikia scenario kama hii imetokea?...
Hata kiswahili tu kinakusumbua...
 
Da
thamani ya uhai kwa mwanadamu hapa nchini imeshuka sana, yaani makosa ya uzembe hospitalini ni mengi sana na yanaongezeka kwa kasi sana, inaonekana hakuna adhabu kali zinazotolewa kwa wazembe hawa...siamini kabisa. Maisha na uhai wetu watanzania wa hali za kawaida yamekuwa hayana umuhimu mbele ya watu waliokabidhiwa kutusaidia. Nawaza ningekuwa Mungu...ningetengeneza gharika..ningeua binadamu wote ili nilete kizazi kingine ambacho kitaleta tabia zingine na si hizi watendazo kizazi hiki....japo wenye haki wangeumia lakini ingekuwa tu hivyo..
Dawa hiyo familia kuwafungulia kesi wawe mfano kwa wajinga wajinga wengine.
 
Huko India ndipo walifanya upasuaji wa nyongo na kusababisha kifo cha shangazi yangu ambaye alienda huko akiwa mzima na kuamua kwenda kucheki afya yake.

Medical negligence ni kila mahali. Ni kama ajali tu!
Upasuaji wa nyongo?
 
Wewe ni daktari mpumbavu sana....unajua BT ngapi zinafanyika nchi nzima kila siku?...lini umesikia scenario kama hii imetokea?...
Hata kiswahili tu kinakusumbua...
Hebu rekebisha nilipokosea wewe mjuvi wa Kiswahili. Wewe ni wa kupuuzwa
 
Naomba ufafanuzi kidgo hapa mkuu kama hutojali
Marehemu alikuwa na changamoto ya tumbo kujaa gesi kwa miaka mingi.

Kwa kuwa mwanae alihitimu masomo ya fani ya afya huko India, baada ya mahafali mtoto akashauri mama aende checkup kuhusu hiyo changamoto.

Madaktari wakasema changamoto inaletwa na nyongo kuwa nyingi, hivyo afanyiwe upasuaji ili kuipunguza.

Matokeo yake marehemu alianza kutapika nyongo hadi kifo chake cha ghafla kilivyotokea.
 
Pole kwa familia inaumiza Sana hii kitu,Bora hata angekua amepata complications kwenye kujifungua.
 
Back
Top Bottom