Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Muuguzi wa zamu aliyemtundikia damu mgonjwa asiyestahili kati ya hao wauguzi watano hafahamiki? Angevalishwa kengele peke yake badala ya kuwahatarishia ajira wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata kama Una HIV huwezi kuwekewa damu ya mtu mwenye HIVUnajiuliza mbona sijafanya ngono ila nina ngoma ,kumbe uliumwa ukawekewa damu ya mtu mweny HIV +
Zamani walikuwa wanaleta huo upuuzi ila siku hizi sababu umakini wa vipimo hizo kesi zimepungua. Ila hayakosekani majitu mazembe ambayo yanafanya kazi utadhani yalilazimishwa, anaweza pima damu juu juu au akachanganya vitendea kazi akakuchoma vyenye contamination ya virus.M
Mkuu hata kama Una HIV huwezi kuwekewa damu ya mtu mwenye HIV
NakusaidiaNdio wauguzi wa Tz hawa wafungwe maisha ku………… zao
I think ni Agglutination reactin Probably due to Antigen-Antibody ReactionDR HAYA LAND kilichotokea hapo ndo haemolytic reactions...
Umakini mdogo sana, unachezaje na afya ya mtu aisee?Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na uhitaji nayo kwa wakati huo.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, James Kaji amesema kuwa Mama huyo alilazwa katika Kituo cha Afya Mikanjuni March 27, 2204 saa kumi alfajiri kwa tatizo la uchungu ambapo damu aliyowekewa Marehemu ilikuwa ni ya Mgonjwa mwingine ambaye alikuwa amelazwa kwenye kituo hicho akipatiwa matibatu ambapo baada ya kupatiwa damu hiyo Fatuma alianza kuonesha dalili za Mtu mwenye mzio mkali (Allergic reaction) kisha akafariki.
Watumishi hao waliosimamishwa kazi kupisha uchunguzi ni pamoja na Wauguzi watatu Fadhila Ally Hozza aliyekuwa zamu ya mchana, Restitua Kasendo Deusdedit na Muya Ally Mohamed walioingia zamu ya usiku na pia Madaktari waliomfanyia upasuaji Andrew Eliasikia Kidee na Hamis Mohamed Msami.
“Mgonjwa alifanyiwa upasuaji ambapo alifanikiwa kupata Mtoto wa kike wa kilo 3.4 na hakuwa na changamoto yeyote na baada ya upasuaji na aliendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa Wauguzi na Madaktari wa zamu, katika wodi aliyokuwa amelazwa marehemu kulikuwa na mgonjwa ambaye alikuwa anahitaji kuwekewa damu na damu yake ilikuwa tayari imeandaliwa, Muuguzii aliyekuwa zamu alimuwekea Marehemu damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na uhitaji huo, baada ya kuwekewa damu marehemu alipatwa na mzio mkali (Allergic reaction) iliyopelekea kifo chake”
Sawa sawa doctar nimekuelewa hapa...I think ni Agglutination reactin Probably due to Antigen-Antibody Reaction
Sio mikoani tu, ni sehemu nyingi ipo hivi. Na sio kada ya afya pekee. In short watz hatupo serious kwenye mambo ya msingiKuna madokta hawapo makini katika kazi zao, especially mikoani
Mistakes Occurs Ila kwenye Blood Transfusion Its a Grave mistake Sina utetezi hata kidogo kwaoSawa sawa doctar nimekuelewa hapa...
I think Kosa sio La daktari Kosa ni umakini wa Manesi na kuchanganya Mafailu ya Wagonjwa..Kuna madokta hawapo makini katika kazi zao, especially mikoani