Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

Dr. Magufuli alipofukuza vyeti fake nchi nzima ilimuandama na inaendelea kumwandama mpaka sasa.

Taratibu zipo wazi, unapofanya blood transfusion, mhudumu wa afya lazima:
  • Uhakikishe uwiano (compatibility) wa kundi la damu (ABO & Rh) unayotaka kumwekea na ya mgonjwa
  • Uwepo walau dakika 15 za kwanza uangalie maendeleo yake na kama hakuna reaction yoyote (ikiwemo allergy)
  • Uwepo around dakika 15 za mwisho kabla zoezi halijakamilika
Hizi ni basics za wahudumu wote wa afya wa ngazi zote za elimu. Kutokuzijua ni uthibitisho wa kuwa kwenye fani kiujanjaujanja.

Magufuli amendoka tumerudi kulekule kwenye kuhudumiwa na vishoka wa afya. Kazi tunayo.
 
Kuna watu hawapendi kusikia hii vyeti feki watakuroga!
 
TUNAMSHURU MAMA KWA HATUA ALIZOCHUKUA KUSIMAMISHA WAFANYAKAZI
 
Mgonjwa aliepaswa kuwekewa na damu na aakawekewa mwingine anaendeleaje ?
 
Sasa vyuo vya nursing vimejaa kila kona uswazi huko na wanaosomea ndio walewale waliofeli lasaba au form four na kukosa option kabisa unategemea nini.

Hilo ndio ambalo limejulikana yapo madhara mengi mahospitalini huko na mamia ya watu wanakufa na wengine kupata vilema.
Hahaaa wanakwambia kigezo D tatu
 
thamani ya uhai kwa mwanadamu hapa nchini imeshuka sana, yaani makosa ya uzembe hospitalini ni mengi sana na yanaongezeka kwa kasi sana, inaonekana hakuna adhabu kali zinazotolewa kwa wazembe hawa...siamini kabisa. Maisha na uhai wetu watanzania wa hali za kawaida yamekuwa hayana umuhimu mbele ya watu waliokabidhiwa kutusaidia. Nawaza ningekuwa Mungu...ningetengeneza gharika..ningeua binadamu wote ili nilete kizazi kingine ambacho kitaleta tabia zingine na si hizi watendazo kizazi hiki....japo wenye haki wangeumia lakini ingekuwa tu hivyo..
 
Tatizo wanaajiriwa Kwa kuangalia huyu ni ndugu wa kizimkazi
 
Kuna muda unampeleka mgonjwa wako hospital ila ukifika ule wakati daktari anakwambia hebu tupishe tumfanyie vipimo mgojwa unatamani umkatalie ubaki ukitazama ili ukiona walakini umuulize maswali ya msingi kwamba nini kinaendelea hapo, kwann unampa hiyo dawa, kwann unafanya hicho?

Maana madaktari na wauguzi wa sasa wamekuwa kama fundi shabani ukimuachia gari yako inakuwa ndio mwanzo wa magonjwa yasiyokuwa na mwisho.
Uko sahihi kabisa
 
Ni shida sana hawa manesi na madaktari ,unamuhudumia mgonjwa bila kufanya confirmation? Yale mambo ya kufanyiwa operation ya mguu badala yala kichwa na wa kichwa kufanyiwa ya mguu bado yanaendelea.
 
Ukute dam yenyewe aikua group lake
Na ndio ikapelekea kupata allergy kali thud why akafa. Pia hapa tunaona team kataa ndoa wakijichukulia point 3 muhimu, mhudumu wa zamu probably alivurugwa/ana ndoa yenye changamoto.
 
Nini kinashindikana taifa la maiti hili ?
Kama mtu kawekewa damu isiyo ya group lake ,wanashindwa nini kujiwekea damu ya virusi vya ukimwi au hepatisis B na magonjwa mengine ?
Mkiambiwa hii nchi na watu wake wana laana ya kudumu muelewe
Damu ya kirusi inafikaje hospital mkuu...?
 
Umbumbu huu na ujinga wa manurse
 
Back
Top Bottom