Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hii kesi nzito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Letshego au mabotto🤔Unakuta nesi ana msongo wa mawazo,ana madeni kama yote..
Kuna watu hawapendi kusikia hii vyeti feki watakuroga!Dr. Magufuli alipofukuza vyeti fake nchi nzima ilimuandama na inaendelea kumwandama mpaka sasa.
Taratibu zipo wazi, unapofanya blood transfusion, mhudumu wa afya lazima:
Hizi ni basics za wahudumu wote wa afya wa ngazi zote za elimu. Kutokuzijua ni uthibitisho wa kuwa kwenye fani kiujanjaujanja.
- Uhakikishe uwiano (compatibility) wa kundi la damu (ABO & Rh) unayotaka kumwekea na ya mgonjwa
- Uwepo walau dakika 15 za kwanza uangalie maendeleo yake na kama hakuna reaction yoyote (ikiwemo allergy)
- Uwepo around dakika 15 za mwisho kabla zoezi halijakamilika
Magufuli amendoka tumerudi kulekule kwenye kuhudumiwa na vishoka wa afya. Kazi tunayo.
Nini kinashindikana taifa la maiti hili ?Ahahahahah impossible mkuu
Hahaaa wanakwambia kigezo D tatuSasa vyuo vya nursing vimejaa kila kona uswazi huko na wanaosomea ndio walewale waliofeli lasaba au form four na kukosa option kabisa unategemea nini.
Hilo ndio ambalo limejulikana yapo madhara mengi mahospitalini huko na mamia ya watu wanakufa na wengine kupata vilema.
Uko sahihi kabisaKuna muda unampeleka mgonjwa wako hospital ila ukifika ule wakati daktari anakwambia hebu tupishe tumfanyie vipimo mgojwa unatamani umkatalie ubaki ukitazama ili ukiona walakini umuulize maswali ya msingi kwamba nini kinaendelea hapo, kwann unampa hiyo dawa, kwann unafanya hicho?
Maana madaktari na wauguzi wa sasa wamekuwa kama fundi shabani ukimuachia gari yako inakuwa ndio mwanzo wa magonjwa yasiyokuwa na mwisho.
Na ndio ikapelekea kupata allergy kali thud why akafa. Pia hapa tunaona team kataa ndoa wakijichukulia point 3 muhimu, mhudumu wa zamu probably alivurugwa/ana ndoa yenye changamoto.Ukute dam yenyewe aikua group lake
Damu ya kirusi inafikaje hospital mkuu...?Nini kinashindikana taifa la maiti hili ?
Kama mtu kawekewa damu isiyo ya group lake ,wanashindwa nini kujiwekea damu ya virusi vya ukimwi au hepatisis B na magonjwa mengine ?
Mkiambiwa hii nchi na watu wake wana laana ya kudumu muelewe