Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

Kwani taarifa niliyoileta hapa ina ugumu upi wa kuielewa? Kwani taarifa hiyo imeandikwa na mimi au mimi nimefanya kazi ya kuleta kama ilivyo? Ndio maana huwa nakuambia kuwa wewe akili yako ni ndogo sana yenye uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo makubwa. Ndio maana huwa nasema mada zangu uwe unawaachia wenye upeo na akili timamu wajadili na kutoa mawazo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…