Kwahiyo ni Tanga sehemu gani?Leo Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Samia Suluhu Hassan Ameongoza Viongozi Wa Juu Wa Serikali
Kuchanjwa Chanjo Ya COVID 19 Aina Ya Johnson And Johnson
Sasa Huko Tanga Wanafunzi Wamekimbia Shule Hasa Hasa Wakihofia Kuchanjwa,Huku Wazazi Wakiwaambia Wasijekuchanjwa Maana
Wataambukiza Wengine Kwa Haraka Sana!!
Mwalim Alipoulizwa Anasema Hali Tete Sana
Wanafunzi Na Watanzania Wapate Elimu
CHANZO: TBC
Si tulikubaliana ni hiyari imekuaje tena???Me sielew, kwani kinachofanya watu waikimbie hii kitu ni nn?
Kwahio we unahisi upo timamu zaidi?Ni uzumbukuku tu wa watanzania kunakosababishwa na elimu duni.
Si tulikubaliana ni hiyari imekuaje tena???Me sielew, kwani kinachofanya watu waikimbie hii kitu ni nn?
Hii Ni Lazima Maana Top Leaders Kama UlivyoonaKama viongozi wa dini zenye wafuasi wengi wamechanjwa, waumini wao watawabishia nini kama si kuchanjwa na wao? Ni hiari lakini itakua lazima kuchanja kadiri ya hali ya maambukizi itakavyokwenda
Hii inatakiwa ilindweHayati ameacha legacy ya kuogopa chanjo
Huo mzigo lazima aubebe, mataifa mengine wapo wasiotaka chanjo lakini hawakuwa na support ya kiongozi wao mkuu, leo hii asilimia kubwa kama sio asilimia 100 ya wale wanaoikataa chanjo nchini wanamnukuu yeye, alikuwa anauwezo wa kipekee kuongea na mwananchi wa kawaida na akamsikiliza... conspiracy theories zipo kila sehemu ila kama watu maarufu ama wenye nguvu wakiziongelea basi raia wengi zaidi wanaweza kuziamini. Utoaji elimu utakuwa ni mgumu sana na hatuwezi kukwepa kwamba uongozi wa awamu ya tano umeaminisha wengi misingi iliyo kinyume na zoezi serikali hii ya awamu ya sita inajaribu kufanya.Wasiotaka chanjo wapo duniani kote sio Tanzania tu, sasa tusimtwishe tu mzigo Magufuli kana kwamba bila ya yeye Tanzania wasingekuwepo wasiotaka kuchanjwa. Muhimu hapo ni kutoa elimu tu maana hao wanataka kuchanjwa sio wote wana elimu sahihi wengine mkumbo tu na ndio maana hata huko Marekani kuna watu wanachoma dozi moja ya chanjo halafu hawaendi tena kwa dozi ya pili wanaona inatosha ile dozi moja wengine zile side effects walizopata kwa dozi ya kwanza huwafanya wasirudi tena kwa dozi ya pili.
Sasa hali ya maambukizi unaijuaje na hatupimi ?Kama viongozi wa dini zenye wafuasi wengi wamechanjwa, waumini wao watawabishia nini kama si kuchanjwa na wao? Ni hiari lakini itakua lazima kuchanja kadiri ya hali ya maambukizi itakavyokwenda
1. Ili chanjo ifanikiwe lazima zaidi ya asilimia 70 wawe aidha wamechanjwa au wametengeneza kinga asilia mwilini. Ni nchi ngapi Afrika zimefikia hili?Tamko la kijinga kabisa limekwepa maswali ya msingi
1. Afrika ni nchi ipi iliyofanikiwa baada ya kuchanja?
2. Ni kwa nini tupewe chanjo na wazungu waliokufa sana na corona wakati sisi hatujaarithiriwa kihivyo
Ufahamu wako umewekeza kwenye masikio. Wekeza kichwani. Akili za kuambiwa ongeza na za kwako.Hayati ameacha legacy ya kuogopa chanjo
Watu kumnukuu mtu haina maana ya kwamba hiyo misimamo yao imetokana kwa kumsikiliza huyo mtu tu, mitazamo ya watu wengi kuhusu chanjo inaanzia kwenye mitazamo yao kuhusu hiyo corona yenyewe. Tatizo ni utoaji wa elimu ukiangalia hata sasa ni kiasi gani cha elimu kilichotolewa hadi tuseme maneno ya Magufuli ndio inakwamisha hilo suala la chanjo? Hata waziri Gwajima jana amekiri kiwango cha elimu kinachotolewa ni kidogo.Huo mzigo lazima aubebe, mataifa mengine wapo wasiotaka chanjo lakini hawakuwa na support ya kiongozi wao mkuu, leo hii asilimia kubwa kama sio asilimia 100 ya wale wanaoikataa chanjo nchini wanamnukuu yeye, alikuwa anauwezo wa kipekee kuongea na mwananchi wa kawaida na akamsikiliza... conspiracy theories zipo kila sehemu ila kama watu maarufu ama wenye nguvu wakiziongelea basi raia wengi zaidi wanaweza kuziamini. Utoaji elimu utakuwa ni mgumu sana na hatuwezi kukwepa kwamba uongozi wa awamu ya tano umeaminisha wengi misingi iliyo kinyume na zoezi serikali hii ya awamu ya sita inajaribu kufanya.
Kila kitu ni Magufuli tu, hao watu wameelimishwa nini hadi sasa?Akili za hao wazazi zinalingana na akili za hao watoto.Hiyo ndiyo legacy ya mwendakuzimu aliyoacha.
HahahaaaaasSsWatangaze kwamba chanjo ya Johnson and Johnson inaongeza nguvu za kiume, aiseee itaisha fasta sana
Hii ndiyo elimu kubwa waliowahi kuipata.Kila kitu ni Magufuli tu, hao watu wameelimishwa nini hadi sasa?