Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

Episodes hizi zinatisha

Wanatengeneza ajali ili kuficha uhusika
 
Mmmhh
 
Intelejensia ya mama inasemaje?
 

View: https://youtu.be/noordkAa4C8?feature=sharedViongozi kwa masikitiko makubwa sana nawafahamisha kuwa
Korogwe DC Tumapata Msiba ambapo District Internal Audtor Bi. Johaines Shao ameuwawa yeye na mtoto wake mmoja wa Darasa la 3 miaka saba pamoja na Dada wa Kazi. Baada ya kuuwawa, walipekwa msituni kwa garia ya DIA na miili yao kuchomwa moto. Jeshi la Polisi bado liko kwenye uchunguzi. Mpaka saza hatufahamu motive ya tukio hili ni nini.

Mungu azilaze roho za Marehe mahala pema peponi. Amini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…