Nimeona vibaya nikadhani ni mafweleImefanyaje mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona vibaya nikadhani ni mafweleImefanyaje mkuu?
Episodes hizi zinatishaWatu watatu wamefariki dunia baada ya kuungua moto katika eneo la ndani ya Msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel katika Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema Septemba 23, 2024 majira ya saa 03:45 usiku walipokea taarifa kwamba ndani ya msitu huo kuna watu wameungua moto.
"Askari Polisi walifika eneo hilo na kukuta kweli kuna gari aina ya IST lenye namba T T 305 EAL linaungua moto na pambeni yake kukiwa na watu wawili wameungua kwa moto".amesema Kamanda Mchunguzi
Soma pia: Jeshi la Polisi lawashikilia watu watatu akiwemo mtoto anayedaiwa kuiba watoto sita
Ameongeza baada ya uchunguzi wa awali wa miili iliyokuwa nje ya gari ilibainika ni ya jinsia ya kike na ndani ya gari kiti cha nyuma ulionekana mwili mwingine ambao umeuungua moto hadi kupoteza sura na haujabainika ni wa jinsia gani.
Miili ya watu hao imehifadhiwa katika Hospitali ya Handeni huku Jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya uchunguzi ili kubaini watu hao walioteketea kwa moto ni akina nani , na nini kiliwatokea kabla ya umauti na waliofanya tukio hilo ni watu gani ili waweze kukamatwa na kufikishwa mahakamani.
Source: TBC Online
Polisi washawTambua maitiWahuni wanapita na upepo ila hao wauaji wazoefu wamehakikisha maiti hatambuliki
Abdul kaanza kukomaaWahuni wanapita na upepo ila hao wauaji wazoefu wamehakikisha maiti hatambuliki
Hufai kuwa afisa mpelelezi wewe..Unaweza kuta waliegesha pembeni hapo wananzengo wakawavamia kwa tuhuma za wizi wa watoto,wakawapiga moto
Hatusimami vijijini kwa sasa
Siyo Wanachama wa CHADEMA kweli hao na labda Jana walikuwa katika Maandamano wakashikwa na leo kama Kawaida?
Aisee nimehuzunika, naskia ni mfanyakazi wa halmashauri, gari ni ISTPolisi washawTambua maiti
Kulikuwa na internal auditor wa korogwe smbdy shayo, kulikuwa na mtoto wa miaka na mwanamke ni kama beki 3 wao
Ova
Acha wehu kwa damu za watu. Kujifanya fyatu kwa uhai wa binadamu mwingine hata kama humjui ni ukichaa tu. Kuna aina ya viumbe walikosewa kuitwa binadamu wangeumbwa nyoka, dubu au nguruwe tu.Itakua mizimu tu iyo mnafanya threesome polini
Kaandamane sasaAcha wehu kwa damu za watu. Kujifanya fyatu kwa uhai wa binadamu mwingine hata kama humjui ni ukichaa tu. Kuna aina ya viumbe walikosewa kuitwa binadamu wangeumbwa nyoka, dubu au nguruwe tu.
MmmhhWatu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema tukio hilo limetokea jana Septemba 23, saa tatu usiku.
Amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kuwatafuta wahusika.
Kamanda amesema walipokea taarifa ndani ya msitu huo kuna gari ndogo inaungua moto na pembeni yake kuna watu wawili wanaungua.
Kamanda amesema askari polisi walifika eneo hilo na kukuta kuna gari ndogo linaungua moto na pembeni yake kukiwa na watu wawill wameungua kwa moto na kufariki dunia wakiwa pembeni ya gari hilo.
Mchunguzi amesema baada ya uchunguzi wa awali ilibainika miili iliyokuwa nje ya gari ni ya jinsia ya kike na ndani ya gari kiti cha nyuma ulionekana mwili mwingine ambao umeungua moto hadi kupoteza sura na haijabainika ni wa jinsia gani.
Amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kwa kushirikisha na vyombo vingine vya uchunguzi kubaini walioteketea kwa moto ni kina nani, nini kiliwatokea kabla ya umauti na waliofanya tukio hilo ni watu gani ili wakamatwe na kufikishwa mahakamani.
Amesema miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni, kwa ajili ya uchunguzi.
Kamanda Mchunguzi ametoa rai kwa wananchi kushirikiana na Polisi kwa kutoa taarifa zitakazosaidia kukamilisha uchunguzi wa tukio hilo.
Msitu wa Korogwe Fuel unamilikiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Wilaya ya Handeni.
MWANANCHI
Sio kila mtu unayemjibu humu ni mwanaharakati wa kisiasa. Wengine hatuna mazoea na damu hata ya mbuzi. Hongereni mashujaa wa kunywa damu za watu.Kaandamane sasa
Intelejensia ya mama inasemaje?Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema tukio hilo limetokea jana Septemba 23, saa tatu usiku.
Amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kuwatafuta wahusika.
Kamanda amesema walipokea taarifa ndani ya msitu huo kuna gari ndogo inaungua moto na pembeni yake kuna watu wawili wanaungua.
Kamanda amesema askari polisi walifika eneo hilo na kukuta kuna gari ndogo linaungua moto na pembeni yake kukiwa na watu wawill wameungua kwa moto na kufariki dunia wakiwa pembeni ya gari hilo.
Mchunguzi amesema baada ya uchunguzi wa awali ilibainika miili iliyokuwa nje ya gari ni ya jinsia ya kike na ndani ya gari kiti cha nyuma ulionekana mwili mwingine ambao umeungua moto hadi kupoteza sura na haijabainika ni wa jinsia gani.
Amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kwa kushirikisha na vyombo vingine vya uchunguzi kubaini walioteketea kwa moto ni kina nani, nini kiliwatokea kabla ya umauti na waliofanya tukio hilo ni watu gani ili wakamatwe na kufikishwa mahakamani.
Amesema miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni, kwa ajili ya uchunguzi.
Kamanda Mchunguzi ametoa rai kwa wananchi kushirikiana na Polisi kwa kutoa taarifa zitakazosaidia kukamilisha uchunguzi wa tukio hilo.
Msitu wa Korogwe Fuel unamilikiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Wilaya ya Handeni.
MWANANCHI
mkuu hii ni kweliItakua mizimu tu iyo mnafanya threesome polini