Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Sio kweli,wewe itakuwa umefika vijijini,hakuna kijiji,cha mkoa wowote kisichokuwa na nyumba za udongo.Tanga,ipo wilaya inaitwa,hivyo,na mkoa mzima,pia unaitwa,Tanga.Tembelea wilaya ya Tanga,uone manispaa ya kwanza,Tanganyika.Mji wenye bandari ya bahari,usifananishe na Iringa kusiko na bahari.Bandari ya bahari,ni mlango wa dunia nzima.
Nimeshangaa Muheza Nyumba za udongo kibao

Hivi hamuwezi kuchoma tofari
 
Huo ni uongo ,endeleeni kupambana na magonjwa yenu ๐Ÿ˜…
Sio swala la uongo au kupambana ni mambo ya facts tuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Mikoa 10 ya Tanzania ambayo Wakazi wake wana Maendeleo na Kipato kikubwa
Screenshot_20250224-211500.jpg
 
. Tanga ni kubwa kwa eneo na asilimia kubwa ni pori lakini haina Maendeleo...

. Tanga ni pakame sana..

. Tanga vyazo vikuu vya mapato ni ile bandari ndogo na Kiwanda cha cement, zaidi ya hapo hamna kiwanda kingine ni vinyumba tu vidogo vidogo..๐Ÿ™‚ ๐Ÿ™‚

. Watu wa tanga ni wavivu kufanya kazi, kila nyumba inadaiwa mikopo ya uchochoroni( wanapenda bata lakini hawataki kufanya kazi nakufikia hatua kudumbukia kwenye mikopo isiyoeleweka)
Hahaaa Tanga wilaya gani yenye ukame ,eti kiwanda ni Tanga cement tu ,kilimanjaro cement,huaxin cement,chokaa liemba,kiwanda cha chuma,kiwanda cha vocha na smart card ,anjari soda ,mogas oil ,Tanga fresh ,eti bandari ndogo bandari ya Tanga sasaรฌvi ndio bandร  ya pili kwa ukubwa malawi ,zambia,Drc na Burundi wanaitumia sana kuimport mafuta na magari na Rwanda wanaimport clinker wรจ unaiongelea Tanga ipi
 
Akina Mwamposa, WRM, Mwingira, Gamanywa na Mitume wengine walifunguka Huduma za Kanisa ๐Ÿ˜ƒ
....uko na "obsessions and compulsivitities " na imani yako ya kidini kwa dhihaka ambayo wengine tuko "partial" kisomi kwa kuheshimu wengine ila dhihaka tunaziweza sana tu ha ha ha ha
Hakukuwa na sababu ya kuingiza Udini katika mambo yetu mtambuka ya kijamii.....

Kada uwe na kiasi.....
 
Sio swala la uongo au kupambana ni mambo ya facts tuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Mikoa 10 ya Tanzania ambayo Wakazi wake wana Maendeleo na Kipato kikubwaView attachment 3248264
Hizo ni geresha hazina uhalisia ,mngekuwa na utapiamlo plus kujiuza mpaka mnapata ukwimi.

Hamkai kwenu ni wakimbizi nyie ,vijitu vifupi kama nyoka aina ya kifutu ,sura hazina nuru kazi kuvaa mitumba ...Usitufananisha na wagonjwa wa kuharisha na Ukimwi.

Kaangalie Documentary ya makete ya ukwimi ,na mbeya kwenu kweny kuharisha watu wachafu
1000029035.jpg
 
. Tanga ni kubwa kwa eneo na asilimia kubwa ni pori lakini haina Maendeleo...

. Tanga ni pakame sana..

. Tanga vyazo vikuu vya mapato ni ile bandari ndogo na Kiwanda cha cement, zaidi ya hapo hamna kiwanda kingine ni vinyumba tu vidogo vidogo..๐Ÿ™‚ ๐Ÿ™‚

. Watu wa tanga ni wavivu kufanya kazi, kila nyumba inadaiwa mikopo ya uchochoroni( wanapenda bata lakini hawataki kufanya kazi nakufikia hatua kudumbukia kwenye mikopo isiyoeleweka)
Tanga Haina Ukubwa wowote Kwa eneo zaidi ya upendeleo wa kichawa.

Huo Mkoa Halmashauri nyingi kupita Mkoa wowote hapa Tanzania lakini umezidiwa watu na Ukubwa na kina Geita,Tabora, Morogoro,Dodoma nk ila umemegwa megwa Vihamlashauei uchwara Kwa sababu za uchawa tuu kama hivyo Vimji vya manamba wa mkonge ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hizo ni geresha hazina uhalisia ,mngekuwa na utapiamlo plus kujiuza mpaka mnapata ukwimi.

Hamkai kwenu ni wakimbizi nyie ,vijitu vifupi kama nyoka aina ya kifutu ,sura hazina nuru kazi kuvaa mitumba ...Usitufananisha na wagonjwa wa kuharisha na Ukimwi.

Kaangalie Documentary ya makete ya ukwimi ,na mbeya kwenu kweny kuharisha watu wachafu View attachment 3248276
Kwa hiyo uchawa wako ndio una uhalisia ila takwimu za NBS Hazina uhalisia?

Aisee Mpaka wanja hauna ubongo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
....uko na "obsessions and compulsivitities " na imani yako ya kidini kwa dhihaka ambayo wengine tuko "partial" kisomi kwa kuheshimu wengine ila dhihaka tunaziweza sana tu ha ha ha ha
Hakukuwa na sababu ya kuingiza Udini katika mambo yetu mtambuka ya kijamii.....

Kada uwe na kiasi.....
Unaelewa maana ya bwaga moyo?

Mstaafu aliogopa kujenga Nyumba ya maana pale kutokana na Giza

Sidhani hata kama unapajua Bagamoyo ๐Ÿผ๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom