Emmanuel Tayari
Member
- Sep 20, 2010
- 86
- 67
Tunashukuru Mkuu; lakini unadhani wenzio wana tatizo basi na ushahidi wa Muungano? Hata uwawekee video baraza la mapinduzi likikubali kuungana na Tanganyika bado watabisha. Uhalali wa Muungano kwao siyo suala la kukosa legal legitimacy - bali kwa sababu hawataki Muungano.
Jamani watanganyika tuwaache wazanzibar waende zao shida ipo wapi!! Akunyimae futari ya kunde kakupunguzia mashuzi, nchi letu kubwa linatushinda let them go and let us close the door for good.
Mkuu Emanuel Tayari, kwanza asante kwa kutuletea nyaraka hizi.Ndugu, wana Jamii forums,
Mjadala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Umekuwa mzito sana, lakini ninadhani cha mhimu ni kuuweka ukweli hapa Jamii forums, yaani nyaraka halisi za Muungano huo pamoja na habari zingine za kijasusi.
Naomba baada ya kusoma Nyakara zote, then tuendelee na Mazungumzo.
Nyaraka nilizoziweka hapa zina prove mambo makuu manne.
1. Muungano huu ulikuwa halali na ulipitishwa na kuwa ratified na serekeli ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2. Kuongezeka kwa vipengere vingine kwenye article of union ilikuwa na sababu kuu ya kulinda amani Zanzibar, na si kwamba Tanganyika ilikuwa na nia sana ya kuitawala Zanzibar.
3. Article of Union ilimpa Rais wa serekali ya Muungano madaraka, kufanya mabadiliko ya vipengere mbalimbali vya sheria ili kuweza kudumisha kusudio la Muungano.
Ndugu, wana Jamii forums,

4. Kumekuwa na mtizamo kwamba, wazanzibari wanadhurumiwa BOT, lakini ukisoma hizi nyaraka (Zanzibar historia na BOT DOC_0000126864, PAGE 11 utaona kwamba mnamo mwaka 1968 Bank ya Zanzibar ilikuwa imefirisika na ilikuwa haiwezi hata kuchangia sehemu yake ya mtaji kwenda Bank kuu ya Tanzania.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, vikao vya BLM ni kama vikao vya Cabinet, vinaitishwa kwa maandishi na miniti zinarekodiwa kwa maandishi, hakuna kikao chochote cha BLM kilichoitishwa kuukubali muungano, ila Mwenyekiti wa BLM, aliwaita baadhi ya wajumbe na kuwaeleza kuwa BLM limeridhia!. Baadaye akawaita mabalozi na kuwaeleza vivyo hivyo kuwa BLM limeridhia!. Hakuna kikao, hakuna miniti wala kumbukumbu yoyote ya kuridhia!.Tunashukuru Mkuu; lakini unadhani wenzio wana tatizo basi na ushahidi wa Muungano? Hata uwawekee video baraza la mapinduzi likikubali kuungana na Tanganyika bado watabisha. Uhalali wa Muungano kwao siyo suala la kukosa legal legitimacy - bali kwa sababu hawataki Muungano.
...........
Tena sasa tuweke shinikizo kuelekea serikali moja!.
Pasco.
Kwani muungano tuliwaelewesha?!. Hao Wazanzibari, sio waelewa hata kidogo!, ni watu wa kupelekwa pelekwa tuu kwa shuruti!"Tuwaeleweshe" wanzibari kuelekea serikali moja.
Ndugu, wana Jamii forums,
Mjadala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Umekuwa mzito sana, lakini ninadhani cha mhimu ni kuuweka ukweli hapa Jamii forums, yaani nyaraka halisi za Muungano huo pamoja na habari zingine za kijasusi.
Naomba baada ya kusoma Nyakara zote, then tuendelee na Mazungumzo.
Nyaraka nilizoziweka hapa zina prove mambo makuu manne.
1. Muungano huu ulikuwa halali na ulipitishwa na kuwa ratified na serekeli ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2. Kuongezeka kwa vipengere vingine kwenye article of union ilikuwa na sababu kuu ya kulinda amani Zanzibar, na si kwamba Tanganyika ilikuwa na nia sana ya kuitawala Zanzibar.
3. Article of Union ilimpa Rais wa serekali ya Muungano madaraka, kufanya mabadiliko ya vipengere mbalimbali vya sheria ili kuweza kudumisha kusudio la Muungano.
4. Kumekuwa na mtizamo kwamba, wazanzibari wanadhurumiwa BOT, lakini ukisoma hizi nyaraka (Zanzibar historia na BOT DOC_0000126864, PAGE 11 utaona kwamba mnamo mwaka 1968 Bank ya Zanzibar ilikuwa imefirisika na ilikuwa haiwezi hata kuchangia sehemu yake ya mtaji kwenda Bank kuu ya Tanzania.
Tundu Lissu asema
wakati umefika sasa kwaSerikali kuweka wazi nyaraka mbali mbali zinazohusu historia ya Muungano wetuna ‘mapito' yake
MAPITO' YA MUUNGANO anasema kwamba kwa kuzingatia mazingira yakuanzishwa kwa Muungano na historia yake, "... kitu cha ajabu sio kwambaumekuwa na matatizo, bali ni kwamba umedumu (licha ya matatizo hayo) – nakwenda kinyume na mwelekeo katika Afrika."Muungano ulidumu misuguano yamiaka ya mwanzo kati ya Mwalimu Nyerere na Sheikh Karume iliyohusu kuongezwakwa masuala ya fedha na sarafu katika orodha ya Mambo ya Muungano. Aidha,Muungano ulidumu mauaji ya viongozi waandamizi na wajumbe wa Baraza laMapinduzi la kwanza la Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kama Makamu wa Rais waJamhuri ya Watu wa Zanzibar Abdallah Kassim Hanga, Waziri wa Fedha Abdul AzizTwala, Othman Sharrif, Mdungi Ussi, Saleh Saadalla na wengine wengi. Vile vile,Muungano ulidumu mauaji ya Sheikh Karume mwenyewe mwaka 1972;‘kuchafuka kwahali ya hewa ya kisiasa' Zanzibariliyopelekea kung'olewa madarakani kwa Rais Aboud Jumbe mwaka 1984; alichokiitaMwalimu Nyerere ‘udhaifu'wa Rais Mwinyi;
Kwa bahati mbaya, MheshimiwaSpika,‘mapito' haya ya Muungano yamekuwa yanafichwa fichwa, licha ya kauli zamara kwa mara za ‘kuelimisha umma juu ya Muungano.' Kwa sababu hiyo, zaidi yatendo la kuchanganya udongo na matukio mengine yaliyofanyika hadharani,historia halisi ya Muungano wetu haifahamiki kwa wananchi walio wengi. KambiRasmi ya Upinzani Bungeni inapendekeza kwamba wakati umefika sasa kwa Serikalikuweka wazi nyaraka mbali mbali zinazohusu historia ya Muungano wetu na‘mapito' yake ili Watanzania waelewe masuala yote yaliyotokea yanayouhusu. Hiini muhimu zaidi kwa kuzingatia ukweli kwamba mataifa ya magharibi kama vileMarekani na Uingereza yalikwishatoa hadharani nyaraka za mashirika yao ya kijasusi pamoja na balozi zao za Tanzania zinazoonyesha jinsiambavyo serikali za mataifa hayo zilihusika katika kuzaliwa kwa Muungano.Mheshimiwa Spika, Kuanikwa kwa nyarakazilizoko katika mamlaka mbali mbali za Serikali kutasaidia kuthibitisha aukukanusha taarifa ambazo chanzo chake ni nyaraka za kidiplomasia na kijasusi zanchi hizo kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokana na njama zakibeberu za kudhibiti ushawishi wa siasa za kimapinduzi za Chama cha Umma naviongozi wake ndani ya Baraza la Mapinduzi Zanzibar la wakati huo. Aidha,nyaraka hizo zitatoa mwanga juu ya kilichowasibu viongozi waandamizi wa chamahicho ambao bila uwepo wao kutambuliwa rasmi, historia ya Mapinduzi ya Zanzibar na ya Muunganoinabaki pungufu. Kwa maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, miaka karibuhamsini ya Muungano ni umri wa kutosha kwa taifa la Tanzania kuambiwa ukweli wote juuya kuzaliwa kwake na mapito ambayo limepitia katika kipindi hicho.
Mheshimiwa Spika, Makubaliano ya Muungano yatarehe 22 Aprili 1964 yalikuwa ni mkataba wa kimataifa kati ya nchi mbili huruzilizokubaliana kuunda ‘nchi moja huru', kwa mujibu wa ibara ya (i) ya Hati yaMuungano. Ili kutekeleza Makubaliano ya Muungano, Bunge la Jamhuri ya Tanganyika lilitunga Sheria ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,1964, Sura ya 557 ya Sheria za Tanzania.Kifungu cha 4 cha Sheria hiyo kilitangaza kuunganishwa kwa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na kuwa ‘Jamhuri moja huru itakayoitwa Jamhuri yaMuungano wa Tanganyika na Zanzibar.' Kwa upande wa Zanzibar, Baraza la Mapinduzi – ambalondio lilikuwa ‘Bunge' la Zanzibarwakati huo – halikutunga sheria ya kuridhia Makubaliano ya Muungano. Jambohili limekuwa chanzo cha mjadala mkali katika duru za kitaaluma na kisheria juuya uhalali wa Muungano wenyewe. Kwa vyovyote vile, matokeo ya kusainiwaMakubaliano ya Muungano ni kwamba Jamhuri ya Tanganyikana Jamhuri ya Watu wa Zanzibar zilikufa na nchimoja – iliyokuja baadae kuitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania -kuzaliwaMheshimiwa Spika, Kwa mujibu wa aya ya (iv) yaMakubaliano ya Muungano na kifungu cha 5(1) cha Sheria ya Muungano, Mambo yaMuungano yaliyokubaliwa kwenye Makubaliano ya Muungano yalikuwa kumi na moja.Haya ni mambo yaliyoko katika vipengele vya 1 hadi 11 vya Nyongeza ya Kwanza ya Katiba ya Muungano.Mheshimiwa Spika, Mamboyote yaliyoongezwa katika orodha ya Mambo ya Muungano baada ya mwaka 1964yalikuwa nje ya Makubaliano ya Muungano na nje ya Sheria ya Muungano na kwahiyo yalikuwa batili. Hii nikwa sababu Sheria ya Muungano – na sio Katiba za Muda za 1964 au 1965 au yasasa -ndio Sheria Mama iliyozaa Muungano na kuweka mgawanyo wa madaraka kati yamamlaka za Jamhuri ya Muungano na mamlaka za Zanzibar. Sheria ya Muungano ilitungwa naBunge la Katiba tofauti na sheria za kawaida. Aidha, Katiba ya Muda, 1965iliyotawala Tanzania hadi1977 iliiweka Sheria hiyo kama Nyongeza ya Pili katika Katiba na kuwekamasharti kwamba Sheria hiyo haiwezi kurekebishwa bila marekebisho hayo kuungwamkono na theluthi mbili ya Wabunge wote wa Tanganyikana wale wa Zanzibar.Vile vile, Katiba ya Muunganoinataja, katika Orodha ya Kwanza yaNyongeza ya Pili, kwamba moja ya Sheria ambazo mabadiliko yake yahitaji kuungwamkono na theluthi mbili ya Wabunge wote ni "Sura ya 557 (Toleo la 1965),Sheria ya Kuthibitisha Mapatano ya Muungano wa Tanganyikana Zanzibar yamwaka 1964."Mheshimiwa Spika, Kifungu cha 5 cha Sheria yaMuungano, ambacho ndicho chenye misingi mikuu ya Muungano hakijawahikurekebishwa tangu Sheria yenyewe ilipotungwa mwaka 1964. Badala yake, Bungelimekuwa na tabia ya kukwepa kuigusa kabisa Sheria ya Muungano na badala yakelimekuwa likifanya marekebisho ya orodha ya Mambo ya Muungano iliyowekwa kwamara ya kwanza katika Katiba za Muda za mwaka 1964 na 1965 kwa kuongeza vipengelekatika orodha hiyo. Lengo la marekebisho haya, Mheshimiwa Spika, limekuwa marazote ni kuinyang'anya Zanzibarmamlaka yake chini ya Sheria ya Muungano. Ndio maana katika Mapendekezo yaHalmashauri Kuu ya CCM Kuhusu Marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano naKatiba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaliyotolewa tarehe 27 Januari,1983, CCM ilitamka kwamba "... msingi wa kuwa na orodha ya mambo ya muunganokatika Katiba ni kuonyesha mamlaka ya Serikali ya Zanzibar ambayo yalikabidhiwakwa Serikali ya Muungano; na msingi wa kuongeza mambo zaidi katika orodha yamambo ya muungano, kama ambavyo imefanyika mara kwa mara, ni kuhamisha mamlakazaidi ya Serikali ya Zanzibar kwenda kwa Serikali ya Muungano." Mheshimiwa Spika, Profesa Shivji anasema -katika The Legal Foundations of the Union -kwamba Bunge la Jamhuri yaMuungano halikupewa mamlaka ya kuongeza Mambo ya Muungano bali lilipewa mamlakaya kutunga sheria zinazohusu Mambo ya Muungano kama yalivyofafanuliwa katikaSheria ya Muungano. Kwa maana hiyo, nyongeza zote zilizofanyika katika orodhaya Mambo ya Muungano tangu mwaka 1964 zilikiuka Makubaliano ya Muungano naSheria ya Muungano na ni batili. Ndio maana, kwa muda mrefu, Wazanzibariwamelalamikia masuala haya, hasa hasa masuala ya fedha, sarafu na mafuta nagesi asilia.UKIUKWAJIMAKUBALIANO/SHERIA YA MUUNGANO
Kuongeza masuala ya Muungano kutoka 11 hadi 22 ni kuimeza Zanzibar, Wabara tuache ubishi - hatujui ni jinsi gani inavyouma kumezwa!