Mkuu Emanuel Tayari, hebu kwanza turudi nyuma kabla hata ya katiba hii iliyopo ya 1977, hati za Muungano zilisema wazi kuwa mara baada ya muungano, iliundwa katiba ya muda, ile 1964 kwa maelekezo "very specific" kuwa ndani ya mwaka mmoja, Rais wa Tanganyika kwa mashauriano na rais wa Zanzibar, wataunda katiba ya kudumu ambayo ndio ingeeleza kuhusu utaratibu wa kuongeza mambo ya muungano.
(vii) The President of the united Republic: in agreement with the Vice-President who is head of the Executive in Zanzibar shall-
(a) Appoint a Commission to make proposals for a Constitution for the united Republic.
(b) Summon a Constituent Assembly composed of Representatives from Tanganyika and from Zanzibar in such numbers as they may determine to meet within one year of the commencement of the union for the purpose of considering the proposals of the Commission aforesaid and to adopt a Constitution for the united Republic.
(viii) These Articles shall be subject to the enactment of laws by the Parliament of Tanganyika and by the Revolutionary Council of the Peoples' Republic of Zanzibar in conjunction with the Cabinet of Ministers thereof, ratifying the same and providing for the Government of the united Republic and of Zanzibar in accordance therewith.
IN WITNESS WHERE Julius K. Nyerere, the President of the Republic of Tanganyika, and Abeid Karume the President of the Peoples' Republic of Zanzibar have signed these Articles, in duplicate, at Zanzibar, on this twenty-second day of April, 1964.
Passed in the National Assembly on the twenty-fifth day of April, 1964.
Kulikuwa na sababu gani ya kutoundwa hiyo constitituent assembly ndani ya mwaka mmoja na badala yake, ikaundwa 1977 ndani ya miaka 13!.
Msingi mkuu wa madaraka ya muungano ni (vii) The President of the united Republic: in agreement with the Vice-President who is head of the Executive in Zanzibar shall- Wakati wa miaka hiyo 13, Tanganyika ilipata wapi mamlaka ya kubadili zile articles za union bila kumshirikisha rais wa Zanzibar na hivyo kuongeza idadi ya mambo ya muungano?!.
Katiba ya JMT ya 1977, inapata powers zake kutoka hati za muungano, hivyo kabla hata taratibu zilizowekwa chini ya katiba ya Tanzania 1977 Section 98 (1) (b) Inayaotaka kuongezwa kwa mambo kwenye list ya Muungano lazima iwe approved by two thirds of Members of Parliament from Tanzania Mainlandand two thirds of Members of Parliament from Tanzania Zanzibar, ile hoja tuu ya kuongezwa jambo lolote, ilipaswa kutanguliwa na mashauriano kati ya rais wa Tanganyika na yule wa Wazibar ndipo muswada upelekwe bungeni kupigiwa kura na hizo two third majority. Mamlaya ya upande mmoja kufanya mabadiliko bila kushirikisha upande mwingine, tuliyapata wapi?.
Maadamu tumekuwa tukiuendesha huu muungano kibabe, sasa bora tumalize kazi rasmi kwa kwenda kwenye serikali moja itakuwa ni heshima, adabu na chokochoko zote zitakwisha!.
Pasco.
Wadau naomba niwasilishe dondoo hizi:
"Indeed those matters have constitutionally doubled from the original 11 in the Articles of Union. To make matters worse, as Prof. Abdul Sherrif and Ismail Jussa observes in their chapter on ‘One Step Forward, Two Steps Backwards: The State of Constitutionalism in Zanzibar-2007', out of the 17 areas covered by the East Africa Community Treaty only 4 are Union matters! In that regard the other 13 areas fall within the jurisdiction of the revolutionary government. Yet its representation in the fast-tracking of the East African Federation is as ambiguous. No wonder, as the two authors note, "a question that was raised repeatedly by the people of Zanzibar during the Wangwe Commission public hearings was one related to the fact that the Union government had assumed powers that are exclusively under the jurisdiction of the Zanzibar government
- UDADISI: Rethinking in Action: BEYOND TWO GOVERNMENTS IN TANZANIA
"One of the leading constitutional lawyers, Prof. Issa G. Shivji, has boldly attempted to unpack this question of Zanzibar's identity in relation to financial matters. In his recent book entitled ‘Pan-African or Pragmatism?' and subtitled ‘Lessons of the Tanganyika-Zanzibar Union', he show how a hasty constitutional amendment robbed Zanzibar of its financial autonomy. Shivji traces how a member EACB, "on loan from the Bank of England as a technical advisor", was instrumental in sidelining Zanzibar in the Board. All this was done to counter the so-called separatist elements on the island. It should be noted that Zanzibar was still a member of the Board even after the Union. Why? Because the then Interim Constitution of Tanzania did not enlist matters related to currency as a union matter. Zanzibar had its own ‘sovereignty' on that. Ironically, the amendment that made currency, foreign exchange and exchange control a union matter was assented by then President of Zanzibar, Mzee Abeid Amani Karume, in the absence of Mwalimu Julius K. Nyerere. He did so as the then Vice-President. But why was Nyerere, the then President, absent? It was probably to give the amendment more credibility to the Zanzibaris. Curiously, this amendment was drafted by Nyerere's legal craftsmen led by the expatriate legal officer who co-drafted the Articles of Union in great secrecy. More curiously, it came to force on the very same day it was gullibly assented. ‘Zanzibar nationalism' suffered a financial blow. This amendment marked the beginning of a quasi constitutional tradition of adding key autonomous issues into the list of union matters irrespective of that International Agreement between Tanganyika and Zanzibar known as the Articles of Union. The tradition constricts, if not undermines, the latter's autonomy. At the end of the day what will be left of and for Zanzibar? As Shivji notes, by the time Karume died in 1972 "the list of union matters had expanded from the original 11 to 16, including significantly, the sixteenth item which was, ‘mineral and oil resources including petroleum, its relative hydrocarbons and natural gas.'" In 1977 they became 17. Today they are 22 according to my copy of the latest version of the Constitution.
- search the truth and act according to principles.: Comrade Chambi Chachage's View on Union Saga

Ndugu, wana Jamii forums,
Mjadala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Umekuwa mzito sana, lakini ninadhani cha mhimu ni kuuweka ukweli hapa Jamii forums, yaani nyaraka halisi za Muungano huo pamoja na habari zingine za kijasusi.
Naomba baada ya kusoma Nyakara zote, then tuendelee na Mazungumzo.
Nyaraka nilizoziweka hapa zina prove mambo makuu manne.
1. Muungano huu ulikuwa halali na ulipitishwa na kuwa ratified na serekeli ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2. Kuongezeka kwa vipengere vingine kwenye article of union ilikuwa na sababu kuu ya kulinda amani Zanzibar, na si kwamba Tanganyika ilikuwa na nia sana ya kuitawala Zanzibar.
3. Article of Union ilimpa Rais wa serekali ya Muungano madaraka, kufanya mabadiliko ya vipengere mbalimbali vya sheria ili kuweza kudumisha kusudio la Muungano.
4. Kumekuwa na mtizamo kwamba, wazanzibari wanadhurumiwa BOT, lakini ukisoma hizi nyaraka (Zanzibar historia na BOT DOC_0000126864, PAGE 11 utaona kwamba mnamo mwaka 1968 Bank ya Zanzibar ilikuwa imefirisika na ilikuwa haiwezi hata kulipa deni lake iliyokuwa inadaiwa na Bank kuu ya Tanzania.
![]()
Prof Shivji account is a lie, BoT was established by the Bank of Tanzania Act of 1965, while the East Africa Currency Board was dissolved in 1972. And Zanzibar was part of the board until then. How can Tanganyika robe Zanzibar its financial autonomy, while the money started BOT had nothing to do with East Africa Currency Board?
Hili la mtaji ulioanzisha BoT , ndugu Emmanuel Tayari, huna uhakika nalo. Mzee Mtei anajua kila kitu kuhusu suala hili.
Mzee akijitokeza tena kama alipojitokeza hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...z-imewahi-kuipa-ruzuku-bot-3.html#post5164956
Mpaka sasa Zanzibar wanapata mgao wa faida 4.5%, wanalalamikia kuwa hii hailingani na mtaji wa 11+% walichangia kama mtaji (Pesa zilizochukuliwa kutoka East African Currency Board kwa ajili ya kuanzisha Benki Kuu.). Katika uchukuaji na majadiliano ya mtaji Mzee Mtei alihusika sana. Akipenda atakuja kuliweka hili sawa kwa faida ya kizazi hiki cha mtandao wa JF.
View attachment 80865
Hapo ndipo nashangaa serikali za CCM zimenyamaza toka 1964. Hii ni hatari tunavurugana kwa upuuzi wa watawala wapuuzi
Hii document ya CIA iko intresting na kama sikosei itakuwa ina contradict na document moja apo yenye kusema kuwa muungano uliridhiwa na wazanzibari, wakati document ya CIA inaonesha kabisa kuwa katika revolutionary council yenyewe kulikua na rivalries na sio wote walokubali muungano only 1/3 ndio wamekubali. Na document inaonesha kuwa muungano ulikua ni kumlimda Karume to maintain his leadership ili kuhakikisha wale "communist" hawachukui nchi kuja kuwa tatizo kwa mainland. All i see from the CIA doc ni kuwa muungano ulikua ni kwa lengo la kuinufaisha tanganyika! Maana kila kilichofanywa ni kwa ajili ya kulinda tanganyika na position ya karume sio kulinda civil war isitokee!
Hili la mtaji ulioanzisha BoT , ndugu Emmanuel Tayari, huna uhakika nalo. Mzee Mtei anajua kila kitu kuhusu suala hili.
Mzee akijitokeza tena kama alipojitokeza hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...z-imewahi-kuipa-ruzuku-bot-3.html#post5164956
Mpaka sasa Zanzibar wanapata mgao wa faida 4.5%, wanalalamikia kuwa hii hailingani na mtaji wa 11+% walichangia kama mtaji (Pesa zilizochukuliwa kutoka East African Currency Board kwa ajili ya kuanzisha Benki Kuu.). Katika uchukuaji na majadiliano ya mtaji Mzee Mtei alihusika sana. Akipenda atakuja kuliweka hili sawa kwa faida ya kizazi hiki cha mtandao wa JF.
Prof Shivji account is a lie, BoT was established by the Bank of Tanzania Act of 1965, while the East Africa Currency Board was dissolved in 1972. And Zanzibar was part of the board until then. How can Tanganyika robe Zanzibar its financial autonomy, while the money started BOT had nothing to do with East Africa Currency Board?
Hiki ndio kitendawili ambacho hata Mwalimu hakuwa na majibu.(Alituaminisha tu kuwa Tanzania ni nchi moja lakini kimuundo tayari ilionesha kuwa kuna nchi mbili zenye ushirikiano katika mambo 11)
La kutatiza zaidi ni kwa nini katika kuunda one sovereign Republic ilikubalika yawepo mambo 11 tu ya muungano, yawepo mambo ya Tanganyika na yawepo mambo ya Zanzibar?
Pia la kufanya muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) uwe wa ajabu ni kwa nini tunazo serikali mbili na mamlaka tatu za kisheria?
Dogo wa Uskochi, umeelewa kweli kilichonukuliwa hapo juu? Jisomee moja kwa moja utafiti huu wa Profesa Shivji: Pan-Africanism or pragmatism?: lessons of the Tanganyika-Zanzibar union - Issa G. Shivji, Organization for Social Science Research in Eastern and Southern Africa - Google Books
Ndugu, wana Jamii forums,
2. Kuongezeka kwa vipengere vingine kwenye article of union ilikuwa na sababu kuu ya kulinda amani Zanzibar, na si kwamba Tanganyika ilikuwa na nia sana ya kuitawala Zanzibar.
Umuhumi wa ZNZ katika muungano ni kwa ajili ya usalama wa dunia. Nchi za magharibi zitafanya kila liwezakanalo kuhakikisha kuwa ZNZ inakuwa katika muungano ili kuepusha Mali na Ageria nyingine.
Hakuna mtu au nchi nyingine itakayojisikia salama katika ukanda huu kwa ZNZ kuwa nje ya muungano.
ZNZ ni refractory and volatile land, it's a potential and breeding site .... which may trouble the world.
Nyerere alisema ''kama ZNZ watataka kuondoka katika muungano hatawapiga mabomu''. Alifahamu kuwa Tanganyika haiwezi kuishi kwa kutegemea ZNZ.
Tanganyika ilipotaka EA federation haikutaka hivyo kwa kutafuta suluhu. Ilifanya hivyo kama sehemu ya Pana Africanism.
Kwa bahati nzuri Karume aliihitaji na kwabahati nzuri usalama wa Tanganyika ulitegemea sana ZNZ.
Nasema ulitegemea sana ZNZ tofauti na sasa ambapo usalama wa dunia unategemea sana Tanganyika kwa kuiangalia ZNZ
Ha ha haha Kijana wa Havard, Najua unampenda sana shivji ndio maana sometimes unakuwa bias against him( Huwa huwezi kufanya critical analysis when SHIVJI is concerned) nitakisoma hicho kitabu, kuna e- book???
Kuna mdau wa JF ana mawazo haya:
Mkuu Emmanuel Tayari,unakubaliana na mawazo haya? (rangi nyekundu)
Kama unakubaliana nayo, mawazo haya hayakinzani na dhana ya kulinda amani ya Zanzibar?
Hiyo Quote ya Nguruvi3 inapatikana kamilifu hapa link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-ya-tanganyika-na-zanzibar-8.html#post5502995
Ha ha haha Kijana wa Havard, Najua unampenda sana shivji ndio maana sometimes unakuwa bias against him( Huwa huwezi kufanya critical analysis when SHIVJI is concerned) nitakisoma hicho kitabu, kuna e- book???
Kwaharaka haraka inaweza kuonekana hivyo, Ila kimsingi Muungano ulileta stability Zanzibar. Hebu angalia hii document niliyo attach sasa hivi (Sikutaka kuiweka kwasababu watu wanaouhusika na haya makundi wengine wako hai hadi leo) Hebu angalia hayo makundi yalivyokuwa mengi !!!!