Tanganyika and Zanzibar: Articles of Union and implementing legislation, with other evidences

Dogo wa Uskochi,
Ha ha haha Kijana wa Havard,
JF raha sana, nilikuwa nafanya rejea ya nondo zilizoshushwa humu, ni hadi nilipokutana na bandiko hili kuhusu Dogo wa Uskochi na huyu Kijana wa Havard.

Dogo wa Uskochi na Kijana wa Havard, asanteni sana kwa nondo zenu humu, where is this jf?. Hapa zimeshuka nondo za kufa mtu kutoka mule mule kunako, siku hizi mbona nondo za sampuli hii haziji?.

P.
 
Hahaa, Mkuu, hii ni baada ya kukutana ubalozini majuzi? Ushapaa? Jimbo/mji gani?
 
Du!, Mkuu Companero kumbe tulikutana juzi!, tuwe tunasalimiana na kutambulishana ila sio lazima kusema wewe ni nani humu jf.

Nipo tuu Bongo ila mmoja wa wifes wangu na kids, wako US, hivyo from time to time huwa nakwenda

Niliuliza mbona nondo za ki hivi siku hizi hazishuki humu jf?.
P
 
Natabitri kuwa huu Muungano ipo siku utakufa na taifa la Tanganyika litarudi.

Ni Muungano unaowanhfaisha Wazanzibari kuliko Watanganyika.

Hata Bunge la Zanzibar halikurodhia juu ya huu Muungano.
Sasa kama kuandika tu ni shida hayo mambo ya Muungano utayajua kweli?
 
Iv mnaonaje tukawapiga wazanzibari wote waliopo tanganyika mpk wavunje muungano feki
 
Huu ni uchawi. Mtaanza kusema pwani imemezwa na dar.....

Zanzibar yenyewe ndogo sana. Wale ni ndugu zetu tuache kuwaandama
 
Natabitri kuwa huu Muungano ipo siku utakufa na taifa la Tanganyika litarudi.

Ni Muungano unaowanhfaisha Wazanzibari kuliko Watanganyika.

Hata Bunge la Zanzibar halikurodhia juu ya huu Muungano.
Kuna vitu vingine ni kuelimishana tuu!,
  1. Muungano ni muungano wa kweli, na hati original za muungano zipo, karibu mitaa hii ukazishuhudie Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?!. (Ufuatiliaji Muungano Sehemu ya I)
  2. Ila ule mkataba wa muungano, The Articles of Union, sio mkataba wa kisheria, yaani its is not a contract, ni makubaliano ya muungano wa milele!, yaani ni an agreement for life!, there is no any provisions how to end it!. Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano? Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?
  3. Ni kweli zile Articles of Union, hazikuridhiwa na Baraza la Wawakilishi, hakuna any ratification from Zanzibar, ziliridhiwa na Bunge tuu la Tanganyika, tukagatunga sheria ya muungano.
  4. Ila japo Zanzibar, ratification haikufanyika, hivyo Zanzibar haikuunga mkono Muungano expressly by ratification, lakini imeunga mkono muungano impliedly by performance !. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
  5. Ukifunga ndoa, ukapewa shahada ya ndoa, ile shahada ya ndoa ni karatasi tuu la kuonyesha uhalali wa ndoa husika, lakini uhalali hallisi wa ndoa, unapimwa by perfomance, ili ndoa iwe halali, lazima iwe consummated!.Ukiwa na shahada ya ndoa, lakini mkashindwa kui consummate hiyo ndoa, inakuwa ni ndoa batilifu mpaka itakapokuwa consummated!.
  6. Mkichukuana na mwanamke, mkaishi kinyumba, bila kufunga ndoa, bila hati ya ndoa, lakini tendo linafanyika, unahesabiwa unaishi kwenye presumption of marriage, baada ya kuishi kwa miaka miwili, uhusiano huo mbele ya sheria ni ndoa halali!.
  7. Ndivyo ulivyo huu muungano wetu adhimu na adimu, japo hakuna any document ya ratification from Zanzibar, kitendo cha binti Zanzibar kujituliza tuli ndani ya ndoa hii, huku akitimiza wajibu wa ndoa, then ndoa ya Muungano wetu ni ndoa halali!. Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria (De Jure) Bali ni De Factor?!
  8. Kwenye muungano, wanandoa wote wawili wanafaidika sawa na ndoa hii.
  9. Endelea na utabiri wako wa kutabiri, kuwa kuna siku huu muungano utavunjika na Tanganyika itarudi
  10. Nakuhakikishia, muungano wetu huu adhimu na adimu, ni muungano wa milele, na tutaulinda kwa gharama yoyote ili kuhakikisha unadumu milele!.
p
 
je, mtakubali kuachia mikoa ya pwani kwenda kwao zanzibar?
 
Kuna vitu vingine ni kuelimishana tuu!,
  1. Muungano ni muungano wa kweli, na hati original za muungano zipo, ila ule mkataba wa muungano, The Articles of Union, sio mkataba wa kisheria, yaani its is not a contract, ni makubaliano ya muungano wa milele!, yaani ni an agreement for life!, there is no any provisions how to end it!. Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano? Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?
  2. Ni kweli zile Articles of Union, hazikuridhiwa na Baraza la Wawakilishi, hakuna any ratification from Zanzibar, ziliridhiwa na Bunge tuu la Tanganyika, tukagatunga sheria ya muungano.
  3. Ila japo Zanzibar, ratification haikufanyika, hivyo Zanzibar haikuunga mkono Muungano expressly by ratification, lakini imeunga mkono muungano impliedly by performance !. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
  4. Ukifunga ndoa, ukapewa shahada ya ndoa, ile shahada ya ndoa ni karatasi tuu la kuonyesha uhalali wa ndoa husika, lakini uhalali hallisi wa ndoa, unapimwa by perfomance, ili ndoa iwe halali, lazima iwe consummated!.
  5. Ukiwa na shahada ya ndoa, lakini mkashindwa kui consummate hiyo ndoa, inakuwa ni ndoa batilifu mpaka itakapokuwa consummated!.

Kwanini Wolfgang Dourado aliwekwa ndani baada kusema kweli kuwa muungano haukuridhiwa na wananchi wa Zanzibar kupitia bunge lao? Hizo zingine umeweka porojo tu.
 
Natabitri kuwa huu Muungano ipo siku utakufa na taifa la Tanganyika litarudi.

Ni Muungano unaowanhfaisha Wazanzibari kuliko Watanganyika.

Hata Bunge la Zanzibar halikurodhia juu ya huu Muungano.
Hilo halina kutabiri.
Wazanzibari wote hawautaki muungano.
Sasa kazi ni watanganyika kuunga mkono wa Zanzibari katika suala hilo.
Masheik wetu Zanzibar waklikaa ndani miaka 8 kwa sababu walikuwa wana eleza ubaya wa muungano.
Message sent sasa wazanzibari wote wamefahmu.
Zanzibar wameuliwa na kupigwa kilamara na polisi na jeshi wa muungano.

watanganyika kimya, sasa yamewafika ndio mnaona ukweli.
Tanganyika haikumezwa lakini Zanzibar ndio ilomezwa.
Katiba ya muungano ni katiba ya Tanganyika. kila palipo sema Tanganyika ime badilishwa kuwa Tanzania.
Foreign currency ya zanzibar lazima iwekwe katika bank ya taifa Tanganyika.
Zanzibar haiwezi kupata msaada au mkopo bila kupitia Bank of Tanzania.
Nani kamezwa?
 
Natabitri kuwa huu Muungano ipo siku utakufa na taifa la Tanganyika litarudi.

Ni Muungano unaowanhfaisha Wazanzibari kuliko Watanganyika.

Hata Bunge la Zanzibar halikurodhia juu ya huu Muungano.
Kifupi Tanganyika ni shamba la Bibi... Wazanzibari wakishirikiana na wajanja wachache wanapora na kujilimbikizia rasilimali za Tanganyika!
WaTanganyika wao wameleweshwa na soka la Simba na Yanga!
Wapo radhi waone mabadiliko kwenye mifumo ya Simba na Yanga huku wakipinga mabadiliko hayo hayo serikalini!
 
Kuna vitu vingine ni kuelimishana tuu!,
  1. Muungano ni muungano wa kweli, na hati original za muungano zipo, ila ule mkataba wa muungano, The Articles of Union, sio mkataba wa kisheria, yaani its is not a contract, ni makubaliano ya muungano wa milele!, yaani ni an agreement for life!, there is no any provisions how to end it!. Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano? Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?
  2. Ni kweli zile Articles of Union, hazikuridhiwa na Baraza la Wawakilishi, hakuna any ratification from Zanzibar, ziliridhiwa na Bunge tuu la Tanganyika, tukagatunga sheria ya muungano.
  3. Ila japo Zanzibar, ratification haikufanyika, hivyo Zanzibar haikuunga mkono Muungano expressly by ratification, lakini imeunga mkono muungano impliedly by performance !. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
  4. Ukifunga ndoa, ukapewa shahada ya ndoa, ile shahada ya ndoa ni karatasi tuu la kuonyesha uhalali wa ndoa husika, lakini uhalali hallisi wa ndoa, unapimwa by perfomance, ili ndoa iwe halali, lazima iwe consummated!.
  5. Ukiwa na shahada ya ndoa, lakini mkashindwa kui consummate hiyo ndoa, inakuwa ni ndoa batilifu mpaka itakapokuwa consummated!.
  6. Mkichukuana na mwanamke, mkaishi kinyumba, bila kufunga ndoa, bila hati ya ndoa, lakini tendo linafanyika, unahesabiwa unaishi kwenye presumption of marriage, baada ya kuishi kwa miaka miwili, uhusiano huo mbele ya sheria ni ndoa halali!.
  7. Ndivyo ulivyo huu muungano wetu adhimu na adimu, japo hakuna any document ya ratification from Zanzibar, kitendo cha binti Zanzibar kujituliza tuli ndani ya ndoa hii, huku akitimiza wajibu wa ndoa, then ndoa ya Muungano wetu ni ndoa halali!. Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria (De Jure) Bali ni De Factor?!
  8. Kwenye muungano, wanandoa wote wawili wanafaidika sawa na ndoa hii.
  9. Endelea na utabiri wako wa kutabiri, kuwa kuna siku huu muungano utavunjika na Tanganyika itarudi
  10. Nakuhakikishia, muungano wetu huu adhimu na adimu, ni muungano wa milele, na tutaulinda kwa gharama yoyote ili kuhakikisha unadumu milele!.
p
Hati ya muungano ipo haipo?
 
Back
Top Bottom