Hallo,
Moja kwa moja kwenye uzi, katika kumzungumzia J.K.Nyerere upande wake wa mazuri ndio unaotukuzwa sana kwa sifa kedekede hali hii imefanya upande wake mbovu kutokuzungumzwa.
Katika makosa makubwa aliyofanya huyu mzee ni kutengeneza taifa la kijinga, sio upande wa Tanganyika wala sio huu muungano uchwara wa kipuuzi aliouasisi mambo kote hovyo hovyo.
Nyerere aligeuza kikundi chake (wanasiasa) Tanganyika na Tanzania kuwa miungu watu, wao ndio sheria, amri na watafasiri haki kwa Watanganyika na Watanzania.
Nyerere alitengeneza Watanganyika kuwa mazezeta yake ya ndio mzee kwa kila uchafu utakaofikiriwa na kiongozi yeyote mwenye mamlaka hapa nchini. Hali hii imepelekea kutumiwa na Marais wote waliomfuata sioni ikikoma mbele bila jitihada stahiki kuchukuliwa.
Leo Tanganyika na Tanzania anaweza akaongoza nchi hata mtoto mdogo wa miaka miwili na hakuna reaction yoyote itafanyika. Hata jiwe linaweza kugeuzwa Rais na hakuna kitu chochote kitatokea nchini.
Mwalimu Nyerere alijenga taifa la kifala sana kuwahi kuliona duniani mpaka sasa kwa umri huu nilio nao.
Next thread nita zungumzia makosa yake katika vyombo vya ulinzi na usalama, vyama vya ushirika, vyama vya siasa.
Wema wa Mwalimu Nyerere ndio unaomsababisha Wapemba/Wazanzibari wenye chuki leo wamtukane.
Waingereza walipompa visiwa vya Zanzibar badala ya kumuacha kinyago Sultani walichokichonga wenyewe Waingereza baada ya kumpora Mreno kisiwa mwaka 1836.
Mwalimu Nyerere angeunda tu Tanzania ya serikali moja.
Kwa huruma yake kwa hawa Wapemba /Wazanzibari wanaomtukana leo kawaruhusu kuwa na kijiserikali chao.
Mwaka jana eti hata katiba ya Tanzania imebadilishwa itamke Zanzibar ni nchi?
Ikifuatia mabadilika ya katiba ya Zanzibar ya 2010 aliotengeneza Aman Karume aliekuwa na nia ya kuvunja Muungano hadi alianzisha vikundi vya kigaidi vilivyofadhiliwa na Mamlaka ya Mapato Zanzibar.
Leo Wapemba/ Wazanzibari wamejaa huko bara kila idara na teuzi za kimkakati kabisa za kuihujumu na kuicontrol Tanganyika.
Ardhi na visiwa vya Tanganyika vimeporwa juzi tu wamesainiana eti hadi visiwa vilivyoko kusini mashariki mwa Daressalaam eti bado ni ramani ya Zanzibar, maana yake Dar imeporwa bahari, mfano kisiwa cha Latham, wavuvi wa Dar wanaitwa Fungu Mbaraka, sikuizi kimebadilishwa jina kinaitwa Fungu Kizimkazi.
Watumishi Wapemba /Wazanzibari waliokula neema huko Dodoma kwa kula kuku kwa mrija na kubebwa kwa misafara, mfano DC Sadiiiifa Jumwa kurudi huku Unguja nasikia huko Wilayani kwake Kaskazini A anawaambukiza wanawake wa asili ya Tanganyika kwa makusudi kabisa huku akijua yeye sio mzima tena kwa kuwabaka wengine na kesi zipo lakini analindwa.
Huku town huja na kuranda kwenye Mabar kuwatafuta wabongo awaangamize bila huruma.
Nimetoa mifano midogo tu ya Wapemba na hujuma ambayo hapa tunaona ncha tu, watafika mbali sana katika kuihujumu Tanganyika, wao wote lao ni moja, asikudanganye mtu, na ndio maana asilimia 100 yao wapo chama cha upinzani cha Hizbu kwa sasa wameikodi ACT ila Zitto akizingua wao wanahama kwa sekunde moja tu na kwenda chama che agenda ya Zanzibar kuwa nchi kamili na muungano ubaki kama wa EAC au SADC.
Ukimuona Mzanzibari CCM chama cha Mwalimu Nyerere wanae mchukia ujue yupo kimaslahi, na ndio maana wanajisikia vibaya sana kuvaa kijani. Mimi mwenyewe sio CCM ila naandika ukweli the ground situation hapa serikalini znz nilipo hali ni mbaya, Mwinyi wanasema ni mwizi wa kuletwa tu na wabongo, hawamkubali.
Wazanzibari wangebaki tu Makamu wa Rais tu madhali kwao nchi yao ina hii serikali kamili, huko Tanganyika wangekuwepo kulinda maslaha ya Zanzibar tu ndani ya Muungano.