Tanganyika na Tanzania ya ovyo ni zao la Hayati Mwalimu Nyerere

Ukindika uwe na ushahidi, wacha pumba zako.

Wajinga kabisa, mnataka kumsukumia Nyerere lawama kwa sababu ya upuuzi wenu na ulafi, usilete majaribu ya kitoto hapa.
 
Huyu jama kapokelewa na waislamu wa pwani wakamuamini wakamsaidia kwa harakati zote alivyo pata uraisi akaanza kubaguwa waislamu kisiasa na kielimu, kafiri ni kafiri ata umsaidie je atakuja kukupenda
Na akataka historia yote ya Tanzania yeye ndiye awe main character wenzake wote akawafunika licha ya mazuri walifanya pamoja.

Akakomalia lugha ya Kiswahili ona sasa wasomi wetu tena Prof wetu anavyoaibika huko kwenye kesi za kimataifa

Inasikitisha sana
 
Kama Nyerere alikosea wewe unashindwa nini kurekebisha makosa yake?

Wewe ndie mjinga zaidi ya Nyerere, kwasababu tatizo unaliona, lakini umeamua kuliacha hivyo hivyo huku ukibaki kumlaumu Nyerere.
Huwezi kurekebisha makosa ya Nyerere wakati mifumo mibovu aliyoiasisi bado ipo na inatetewa vikali na wanaonufaika na mifumo hiyo mibovu. Ni hadi Watanzania watakapo pata shuluba ya kutosha na kuamka ndipo marekebisho ya mifumo ya nchi hii inaweza kufanyika. Kwa sasa wewe na wewe tuendelee kunwa bia za ofa na wanzuki.

Nyerere ana mazuri yake mengi. Lakini kwenye muundo huu wa Muungano, Katiba na siasa za ujamaa aliyoiasisi kwa nguvu zote alichemka.
 
Wema wa Mwalimu Nyerere ndio unaomsababisha Wapemba/Wazanzibari wenye chuki leo wamtukane.
Waingereza walipompa visiwa vya Zanzibar badala ya kumuacha kinyago Sultani walichokichonga wenyewe Waingereza baada ya kumpora Mreno kisiwa mwaka 1836.

Mwalimu Nyerere angeunda tu Tanzania ya serikali moja.
Kwa huruma yake kwa hawa Wapemba /Wazanzibari wanaomtukana leo kawaruhusu kuwa na kijiserikali chao.
Mwaka jana eti hata katiba ya Tanzania imebadilishwa itamke Zanzibar ni nchi?
Ikifuatia mabadilika ya katiba ya Zanzibar ya 2010 aliotengeneza Aman Karume aliekuwa na nia ya kuvunja Muungano hadi alianzisha vikundi vya kigaidi vilivyofadhiliwa na Mamlaka ya Mapato Zanzibar.

Leo Wapemba/ Wazanzibari wamejaa huko bara kila idara na teuzi za kimkakati kabisa za kuihujumu na kuicontrol Tanganyika.
Ardhi na visiwa vya Tanganyika vimeporwa juzi tu wamesainiana eti hadi visiwa vilivyoko kusini mashariki mwa Daressalaam eti bado ni ramani ya Zanzibar, maana yake Dar imeporwa bahari, mfano kisiwa cha Latham, wavuvi wa Dar wanaitwa Fungu Mbaraka, sikuizi kimebadilishwa jina kinaitwa Fungu Kizimkazi.

Watumishi Wapemba /Wazanzibari waliokula neema huko Dodoma kwa kula kuku kwa mrija na kubebwa kwa misafara, mfano DC Sadiiiifa Jumwa kurudi huku Unguja nasikia huko Wilayani kwake Kaskazini A anawaambukiza wanawake wa asili ya Tanganyika kwa makusudi kabisa huku akijua yeye sio mzima tena kwa kuwabaka wengine na kesi zipo lakini analindwa.

Huku town huja na kuranda kwenye Mabar kuwatafuta wabongo awaangamize bila huruma.

Nimetoa mifano midogo tu ya Wapemba na hujuma ambayo hapa tunaona ncha tu, watafika mbali sana katika kuihujumu Tanganyika, wao wote lao ni moja, asikudanganye mtu, na ndio maana asilimia 100 yao wapo chama cha upinzani cha Hizbu kwa sasa wameikodi ACT ila Zitto akizingua wao wanahama kwa sekunde moja tu na kwenda chama che agenda ya Zanzibar kuwa nchi kamili na muungano ubaki kama wa EAC au SADC.
Ukimuona Mzanzibari CCM chama cha Mwalimu Nyerere wanae mchukia ujue yupo kimaslahi, na ndio maana wanajisikia vibaya sana kuvaa kijani. Mimi mwenyewe sio CCM ila naandika ukweli the ground situation hapa serikalini znz nilipo hali ni mbaya, Mwinyi wanasema ni mwizi wa kuletwa tu na wabongo, hawamkubali.

Wazanzibari wangebaki tu Makamu wa Rais tu madhali kwao nchi yao ina hii serikali kamili, huko Tanganyika wangekuwepo kulinda maslaha ya Zanzibar tu ndani ya Muungano.
 
Ukindika uwe na ushahidi, wacha pumba zako.

Wajinga kabisa, mnataka kumsukumia Nyerere lawama kwa sababu ya upuuzi wenu na ulafi, usilete majaribu ya kitoto hapa.
Wewe ama ni mnufaika wa mfumo uliopo au umeamua kuwa chawa mfumo uliopo bila kujitambua ndo maana unatoa ushuzi wako wa maharage ya mbeya. Mtanzania mwenye akili iliyokaa sawa hawezi kuutetea mfumo wa uendeshaji wa nchi uliopo. Haya yote muasisi wake n Mwalimu.
 
Madudu Matupu ,
Munadanganyika na Ukubwa wa miili yao na uzuri wa suti zao
Watanganyika waliosomeshwa na Nyerere hawajui sheria wala kiengereza
Ndio maana mnawaibia, mnawatapeli wenzenu sana. Kweli Dr Abdu Yahy Mzee ndio wa kupelekwa chuo cha kijeshi Tanganyika? Kama sio njama ya kuwajaza wazanzibar ni nini? Yaani kila idara mmeikamata na sasa hata jeshi?
 
Hapa Zanzibar wizi uliokuwepo hadi wanaume wanaandikiwa kuwa na ujauzito.
Mmezidi ufisadi na pesa mnapora huko bara.
Hapa zenji pamejengwa hadi maporini kwa mwaka mmoja na nusu tu, hata sijui nani atatumia mahekalu hayo kwa pesa ya Tanganyika.
Jussa kakiri mkutanoni Pemba kuwa sikuizi haipigwi hesabu tupunjwe, sikuizi inaamuliwa tu haya Mabilioni ya Dola yaende Zanzibar.
 

Waseme wao, akisema FaizaFoxy huwa mwao. Niliwahi kuandika hivi hapa JF:

 
halafu mafala eti anataka kuwa mtakatifu! Stupid katoliki na CCM na wote wanaomshabikia Nyerere kuwa alikuwa mwema! Moja tu mbalo hakulifanya, HAKUIBA MALI YA UMMA NA KUJIPENDELEA KAMA MASHATANI YALIYOMFUATA
CCM mafala wakati nyinyi ACT hizbu chama cha waarabu japo mmekikodi cha Zitto baada ya Lipumba kukutimueni, CCM mafala wakati leo teuzi ni zenu ACT? Mbona sasa nafasi zao mnazichukua? Hujisikii aibu? Hivi wazanzibar wangapi waliokuwa wapinzani huku zenji ila leo bara wamepewa uteuzi? Hao hao kwa maisha yao yote wameitukana na kuihujuma Tanganyika na Nyerere? Au unabisha tulete picha zao?
 
Unaandikia mate na wino upo hapahapa JF? Jionee Lissu "alivyomtukana" Nyerere:



Na huyo nae ni CCM?
 
Ni kweli kama binadamu alikuwa na mapungufu yake na alikuwa na mazuri yake !!

Haipendezi na tutakuwa sote ni mandezi kama tutaendelea kuimba makosa yake aliyotuachia katika Nchi bila kufanya uthubutu wa kuyarekebisha yote mabaya aliyotuachia au kutusababishia !!

Simple minds discuss people ordinary minds discuss events but Great minds discuss ideas !!

Kupanga ni kuchagua !! Wakati ni sasa !!
 
Kwani mkubwa nae ni CCM? Namaanisha huyo huyo unaemtetea. Amani Karume mentor wake hataki hata kuisikia CCM.
Nijibu tafadhli🤣
 
Kama Nyerere alikosea wewe unashindwa nini kurekebisha makosa yake?

Wewe ndie mjinga zaidi ya Nyerere, kwasababu tatizo unaliona, lakini umeamua kuliacha hivyo hivyo huku ukibaki kumlaumu Nyerere.
Hapo nakuunga mkono Kwa asilimia 100, Mtoto aliyezaliwa wakati Nyerere ametoka kwenye uongozi wengine wanaitwa Babu huku mtu analalamika kwasababu ya Nyerere. hiyo ni akili kweli
 
Aliyesaini mkataba wa kuchimba madini ni nani?
 
Kama Nyerere alikosea wewe unashindwa nini kurekebisha makosa yake?

Wewe ndie mjinga zaidi ya Nyerere, kwasababu tatizo unaliona, lakini umeamua kuliacha hivyo hivyo huku ukibaki kumlaumu Nyerere.
Na huu ndio ukweli mchungu ! Yule Mzee alishaondoka na hatorudi tena !! Ina maana alikwenda akiwa amezifungia Akili zetu kabatini na funguo ameenda nazo ?!!

Basi siye wote ni hamnazo !!
 
Kumlaumu Nyerere Kwa maisha ya mtanzania ni sawa na kumsingizia Babu mzaa Babu Kwa umaskini ulionao
Ndugu yangu hao Wazanzibari lao moja wote, kumtukana Nyerere tu. Wengi wao hunywa Konyagi hadi huwatokea machoni ili wapate kutukana bila aibu. Nipo nao huku na nawajua vizuri. Hata hao walevi waliopo bara na bado wanamtukana Baba wa Taifa, tunawajua Wazanzibari, ni watumwa wa akili, people without identity.
 
Mtu kuwa kilaza/fisadi Kwa sasa Nyerere aliyefariki zaidi miaka 23 iliyopita anahusikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…