Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Boss wa ATCL/TANAPA, tangaza Utalii kwa kuwapa wanafunzi bora motisha acha kufanya siasa za kitoto mkuu kwa maana hazina faida kwa Tanzania yetu...Kutangaza utalii na vivutio vyetu kunaanza na wewe . mfano kwenye magroup ya shule na vyuo ulivosoma washawishi washikija mwisho wa mwaka huu mkatembelee hata Mikumi na wao watawaambia ndugu na jamaa na hapo sasa mtaongeza pato la taifa pamoja na kueneza hamasa na nakuhakikishia mkifanya hivo hamtaacha yani kila mwaka mtaenda.