TANGAZA UTALII TANZANIA: ATCL na TANAPA wana nini cha kuwapa wanafunzi 10 (bora) waliofanya vizuri Darasa la Saba 2020?

TANGAZA UTALII TANZANIA: ATCL na TANAPA wana nini cha kuwapa wanafunzi 10 (bora) waliofanya vizuri Darasa la Saba 2020?

Unaelewa maana ya kutangaza utalii, au ndiyo yale ya yule waziri wa zamani kupiga misele na madem na wahuni wanaojiita selebrite kutumbua mabilioni eti anatangaza utalii !!

Marketing... unakuwa unauza product flan, ukiwa na specific target audience, using specific strategies, ukitarajia au project returns flan.

Sasa jaza hapo mwenyewe...
Maelezo hayana mantiki. Unakurupuka sana mkuu
 
Yaani wewe umeshindwa kumpeleka mtoto wako huko unataka kuibebesha serikali mzigo! Mbaya zaidi mtoto wako kidato cha nne atachemsha.
Mbona mimi sina mtoto aliyemaliza darasa la saba mpaka sasa?...
 
It seems you are one of them, maana hii imekugusa sana.
FYI hiyo ni class ya watu wenye pesa, mali worth billions sio wenye only laki 3 au 4 Mpesa au Tigopesa, au iphone ya mchina na wanakaa room ya kupanga
Punguza mipasho, fanya kazi. Halafu hiyo FYI ndio nini labda?
 
It seems you are one of them, maana hii imekugusa sana.
FYI hiyo ni class ya watu wenye pesa, mali worth billions sio wenye only laki 3 au 4 Mpesa au Tigopesa, au iphone ya mchina na wanakaa room ya kupanga
I am not one of them, lakini huwa sipendi league za social media
 
Back
Top Bottom