Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Tanzania haina CoronaVitu vidogo sana hivi.... kawaida. Wewe endelea na mambo ya mafenesi na swalapala vina korona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania haina CoronaVitu vidogo sana hivi.... kawaida. Wewe endelea na mambo ya mafenesi na swalapala vina korona
Mwambie huyoAcha kejeli kwa wakuu wako wa nchi
Wewe unayo hiyo Corona mkuu?Vitu vidogo sana hivi.... kawaida. Wewe endelea na mambo ya mafenesi na swalapala vina korona
Nakuona mfanyakazi wa ATCL/TANAPAYaani wewe umeshindwa kumpeleka mtoto wako huko unataka kuibebesha serikali mzigo! Mbaya zaidi mtoto wako kidato cha nne atachemsha.
Sasa ndio umeandika nini?Yaani wewe umeshindwa kumpeleka mtoto wako huko unataka kuibebesha serikali mzigo! Mbaya zaidi mtoto wako kidato cha nne atachemsha.
Maelezo hayana mantiki. Unakurupuka sana mkuuUnaelewa maana ya kutangaza utalii, au ndiyo yale ya yule waziri wa zamani kupiga misele na madem na wahuni wanaojiita selebrite kutumbua mabilioni eti anatangaza utalii !!
Marketing... unakuwa unauza product flan, ukiwa na specific target audience, using specific strategies, ukitarajia au project returns flan.
Sasa jaza hapo mwenyewe...
Kwa hiyo unawaita celebrities wa Tanzania wahuni? Wangekuwa wa Marekani ungewaita super stars? Unahitaji ukombozi wa fikra
Ila wee jamaa acha kudharau wenzioSawa kama gigi money kwako ni selebrite
Sio dharau Bali tuache kujipa title ambazo hatukidhi vigezo au stahiki.Ila wee jamaa acha kudharau wenzio
Mbona mimi sina mtoto aliyemaliza darasa la saba mpaka sasa?...Yaani wewe umeshindwa kumpeleka mtoto wako huko unataka kuibebesha serikali mzigo! Mbaya zaidi mtoto wako kidato cha nne atachemsha.
Basi tufanye wewe ndio celebrity na billionaire ili ufurahi sasaSio dharau Bali tuache kujipa title ambazo hatukidhi vigezo au stahiki.
Celebrity sio kila mtu tu... au kujiita bilionia...
Basi tufanye wewe ndio celebrity na billionaire ili ufurahi sasa
Punguza mipasho, fanya kazi. Halafu hiyo FYI ndio nini labda?It seems you are one of them, maana hii imekugusa sana.
FYI hiyo ni class ya watu wenye pesa, mali worth billions sio wenye only laki 3 au 4 Mpesa au Tigopesa, au iphone ya mchina na wanakaa room ya kupanga
I am not one of them, lakini huwa sipendi league za social mediaIt seems you are one of them, maana hii imekugusa sana.
FYI hiyo ni class ya watu wenye pesa, mali worth billions sio wenye only laki 3 au 4 Mpesa au Tigopesa, au iphone ya mchina na wanakaa room ya kupanga
I am not one of them, lakini huwa sipendi league za social media
Maana wadangaj na marioo wameingilia faniKwa hiyo unawaita celebrities wa Tanzania wahuni? Wangekuwa wa Marekani ungewaita super stars? Unahitaji ukombozi wa fikra
Yeyoooo!Sio dharau Bali tuache kujipa title ambazo hatukidhi vigezo au stahiki.
Celebrity sio kila mtu tu... au kujiita bilionia...
Bongo kna celebrity au wadangaji tuBasi tufanye wewe ndio celebrity na billionaire ili ufurahi sasa
Hahahahaaa