Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Boss wa ATCL/TANAPA, tangaza Utalii kwa kuwapa wanafunzi bora motisha acha kufanya siasa za kitoto mkuu kwa maana hazina faida kwa Tanzania yetu...Kutangaza utalii na vivutio vyetu kunaanza na wewe . mfano kwenye magroup ya shule na vyuo ulivosoma washawishi washikija mwisho wa mwaka huu mkatembelee hata Mikumi na wao watawaambia ndugu na jamaa na hapo sasa mtaongeza pato la taifa pamoja na kueneza hamasa na nakuhakikishia mkifanya hivo hamtaacha yani kila mwaka mtaenda.
Kwa hiyo wewe katika huo umri uliofikia bado tu haujui wanafunzi 10 bora katika ufaulu ngazi ya taifa ni mashujaa wa nini?
mhhh...More than five primary school in Tanzania walifutiwa matokeo ya STD seven, what the rest?
Kijana wangu amekuwa TO namba mbili PCB2020, hakuna cha maana walichopewa zaidi ya vikombe/ngao na kupiga picha mlimani city na wazee wa baraza.
Hakuna siasa hapa.Boss wa ATCL/TANAPA, tangaza Utalii kwa kuwapa wanafunzi bora motisha acha kufanya siasa za kitoto mkuu kwa maana hazina faida kwa Tanzania yetu...
Mzee baba umepigwa swali hukuHakuna siasa hapa.
Hebu toka hata hapo nje kwako tafuta mwanafunzi alomaliza la saba uliza alokua wa kwanza kitaifa anaitwa nani uone kama hata anajua!!
Narudia tena kutangaza hifadhi na vivutio vyetu kunaanza na wewe labda nikuulize ushawahi tembelea hata hifadhi moja tu? Ushawahi washawishi hata rafiki na jamaa mkatembelea vivutio vyovyote ?
Sawa mzee baba ngoja nitamjibu huyu boss wa TANAPA
Hapana mkuu, hii ni issue ya kitaifa kwa maana hawa watoto ni mashujaa...Naona ni ssue ya watoto na wazazi wao
Nimemuuliza mtoto wa jirani yangu anamjua TO wa mwaka huu...Hakuna siasa hapa.
Hebu toka hata hapo nje kwako tafuta mwanafunzi alomaliza la saba uliza alokua wa kwanza kitaifa anaitwa nani uone kama hata anajua!!
Ninajua fika unaanza na mimi ndio maana nimewaambia nyie ATCL/TANAPA wapeni hao vijana motisha kwa kuwa mashujaa wa taifa...Narudia tena kutangaza hifadhi na vivutio vyetu kunaanza na wewe
Nimetembelea hifadhi nne mpaka sasa mkuu na nimeshawishi ndugu na rafiki wengi sana kama ambacho hawa top 10 wa darasa la saba watakavyoshawishi wa kwaolabda nikuulize ushawahi tembelea hata hifadhi moja tu? Ushawahi washawishi hata rafiki na jamaa mkatembelea vivutio vyovyote ?
Katika vitu ambavyo napinga ni huu ujinga wa ku-kupromote ku-mention na kusifia washindi wa mitihani . Hili linafanya wanafunzi wengi na shule kukimbilia kuwakaririsha wanafunzi wao maswali na majibu badala ya kuwafundisha waelewe. Na zaidi inafanya shule, wazazi na wanafunzi wafanye kila namna ili kuvujisha mitihani kimagendo.Haina wanafunzi wana nini special cha kuisaidia nchi?
Kukariri ndio mfumo wa elimu karibia nchi zote za Afrika...Katika vitu ambavyo napinga ni huu ujinga wa ku-kupromote ku-mention na kusifia washindi wa mitihani . Hili linafanya wanafunzi wengi na shule kukimbilia kuwakaririsha wanafunzi wao maswali na majibu badala ya kuwafundisha waelewe.
Kuvusha mitihani kimagendo huo ni uhalifu tu kama uhalifu mwingine na sio tabia ya kila mzazi au mmiliki wa shule.Katika vitu ambavyo napinga ni huu ujinga wa ku-kupromote ku-mention na kusifia washindi wa mitihani . Hili linafanya wanafunzi wengi na shule kukimbilia kuwakaririsha wanafunzi wao maswali na majibu badala ya kuwafundisha waelewe. Na zaidi inafanya shule, wazazi na wanafunzi wafanye kila namna ili kuvujisha mitihani kimagendo.
ATCL na TANAPA can do something for these kidsBAWACHA 19 wanathamani kuliko hao wanafunzi, this is bongo
Hatua ya elimu inaanzia wapi kwa mtazamo wako?la saba kuna vituko sio mtihani
ei bii sii nalo ni pepa???
Kabisa. Siyo wote lakini ni uhalifu uliotamalaki.Kuvusha mitihani kimagendo huo ni uhalifu tu kama uhalifu mwingine na sio tabia ya kila mzazi au mmiliki wa shule.
Hii must inatoka wapi mkuu? Ni sheria ndo inasema hivo?ATCL na TANAPA must do something to these kids
Kwani kuna mangapi wana JF wengi humu wanawashauri na hamtekelezi? Kwa hiyo hata msipotekeleza hili mimi sitawashangaa kwa maana ndio kawaida yenu mkuu...Hii must inatoka wapi mkuu? Ni sheria ndo inasema hivo?
Nikushauri tu siku nyingine unapotoa wazo usilazimishie liwe kama sheria haya mawazo tu yanaweza kutekelezwa au yasitekelezwe