Nimeyapokea haya mabadiliko kwa Moyo mmoja....ninaahidi kutoa ushirikiano kwa Erickb52 na wanakamati wake kwa amani kabisa. Nitatoa tamko rasmi kwa wote nitakapokuwa na nafasi. Asanteni wana JF kwa kushirikiana nami katika uongozi wangu uliopinduliwa. Nimeyakubali mapinduzi Go Ahead Erickb52
Kutokana na harusi yangu kutawaliwa na vikwazo vingi aliekuwa mume wanguzubedayo_mchuzi kudai watoto na kuwa hajatoa talaka suala liko ustawi wa jamii nkisaidiwa na shem wanguJudgement.. Upande mwingine harusi pia imepelekea mwenyekiti Baba V kupinduliwa.g kutokana na matatizo haya naahirisha harusi mpaka hali itakapokuwa shwari. Poleni kwa usumbufu wapendwa
Afadhali maana toka Ex mwenyekiti aliposema anatumia ile kitu ya tarime mie nimekosa kabisa imani nae..
Khe makubwa!!!mtu kujivika uongozi yeye mwenyewe bila kutushirikisha wajumbe HAPANA
huu ni udikteta ndani ya nyumba
Heaven on earth hujawahi ona serikali ikipinduliwa?!
hahahahaha...inabidi tu iwe hivyo...labda kama baba v ana sababu za kujitetea au akate rufaa kama vipi!!
mimisa na wewe huungi mkono hii hoja