Lol nisimshabikie mume wangu Erickb52 nimshabikie nani...!
Hahahaha naomba limtoke Baba V aache kung'ang'ania madaraka aachie na wengine
Swthrt nimekumiss sana....!
hayo matangazo yenu wenzenu tunakufa kwa presha humu
Umemuona mwenyeketi mstaafu anatafuta huruma ya kule?
Mwaambie mie ndo B52 ebooooo
Mimi nakupenda sana ujueSwthrt nimekumiss sana....!
Mimi nimebana kona hii, nasubiri 'matamko'.
Napitaje!!!!
Aah'Saalaaleh !
Atiii ?
Unasubiri ? NIMESHTUKA ambavyo sijawahi stuka!
M A T A "M" KO
hiyo "M" ya mwisho iliyofungwa sikua nimeiona!
Aroooh !
Hatariiii !
Mimi nakupenda sana Arushaone ujue
Umeninukuu vibaya mkuu.