TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

Status
Not open for further replies.
Hali ikiwa shwari utazungumza na wadau na kuwapa mikakati........
Usijali we anza kujiandaa na maadalizi ya awali then within seven days utakuwa na ndoa yenye baraka zoote toka kwa Kwangu na wanakamati wangu na nakuahidi baada ya ndoa nitakupa Ukatibu wa kamati hii cheo ambacho nimekuhifadhia!

Copy kwa Baba V mimisa Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
mi na yeye hakuna tatzo
ila sikubaliani na wewe kua mwenyekiti..namtambua Baba V tu..
Sawa....sio lazma ukubaliane kwa kuwa hata rais huwa hachaguliwi na 100% ya watu
Pia kama hukubaliani inamaanisha umepewa hongo na Baba V ila sio ishu ndio ishakuwa tayari no option
 
Last edited by a moderator:



hizo ni kwa vijana watakao pewa jukumu la kulinda ofisi
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mtu ambaye ashaweza mpindua Baba V...ngoja nione utatumia stretejiz zipi hahaha
Hakuna aliyewahi kumpindua zaidi ya kulalama tu....mimi ndiye nilimuweka Baba V na nimeamua kumtoa ili kurudisha Amani kwenye ndoa za watu..
Acha watu waeonjoy malove dove sio kila siku migogoro utadhani hatuna kiongozi.

Hii ni taarifa rasmi na ninatambulika kama Mwenyekiti labda Baba V tumuundie cheo chake!
 
Last edited by a moderator:
mimisa nakuhakikishia hii kamati yangu itamrudisha mumeo mwananthropolojia haraka iwezekanavyo na hutakuja uone kapotea tena
 
Last edited by a moderator:
Kama huo uenyekiiti umejivika mwenyewe basi mimi sikutambui.
Young Master wale wote ambao hakubaliani na mimi nilishawajua tangu mwanzoniii wewe ukiwa ni mmoja wao so hata sihangaiki na nyinyi coz ni asilimia ndogo sana.

N.B Najua ntawaharibia mipango yenu miovu ila sio ishu vumilieni tu mtazoea
zubedayo_mchuzi naomba uhakikishe huyu Young Master haleti shida na yoyote...mkabidhi yule binti amdhibiti coz dawa yake ndogo sana.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…