Baba V anamsaidia nini zubedayo_mchuzi zaidi ya kuivunja ndoa yake?heeeee
uyu anakusaidia alafu unamchimba mkwara ivooo
C6 umewahi kumuona Mama v hata siku moja hata akijaribu kusuluhisha ndoa yoyote humu?
No problem switat
Kama huo uenyekiiti umejivika mwenyewe basi mimi sikutambui.
Kama huo uenyekiiti umejivika mwenyewe basi mimi sikutambui.
Young Master wale wote ambao hakubaliani na mimi nilishawajua tangu mwanzoniii wewe ukiwa ni mmoja wao so hata sihangaiki na nyinyi coz ni asilimia ndogo sana.
N.B Najua ntawaharibia mipango yenu miovu ila sio ishu vumilieni tu mtazoea
zubedayo_mchuzi naomba uhakikishe huyu Young Master haleti shida na yoyote...mkabidhi yule binti amdhibiti coz dawa yake ndogo sana.
Well hakuna shida....wife at workMwaaaaaah
Nakupenda sana mke wangu!
Haya hakikisha watu wanaenjoy mahusiano yao eeeh
charminglady hajaniroga ila nimefikaaaaaaaaaaHa ha haaa!! Hakuna binti atakayeweza kunidhibiti labda aniroge.
C6 & charminglady tatizo lilikua ni nini....karibuni meza ya mazungumzo!C6 umewahi kumuona Mama v hata siku moja hata akijaribu kusuluhisha ndoa yoyote humu?
Hilo ni jina tu kwa sasa tuko digitali....mamaaa Chocs atahakikisha mapenzi ya watu yako juu sana hata wewe utashangaa umerudiana na mkeo charminglady bila kujua!
Relux mkuu!
wewe ndie uliekuwa ukishirikina na huyo Baba V,Baba Y,Baba T......nakuonya leo usionekane humu kabla sijakuweka kizuizini
[/QUOTE]
Kwani huyu jamaa ako ana inch 19 au!??:embarrassed1:
Hahahahahaha...lolestKwani huyu jamaa ako ana inch 19 au!??:embarrassed1:
mimisa si utuambie tu wanajamvi unaweza kupata replacement hum ndani!!!!!!!hiyo ni siri ya kwangu tuu
Well said Heaven on earth