TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

Status
Not open for further replies.
Ni mabadiliko gani utayaleta?
Kwanza naahidi wote waliona wapenzi watafurahia mapenzi yao kwa kuwa na usalama wa kimahusiano...na ndoa zote zitaheshimiwa na wote haatakuwa namigogoro tena wala kuingiliana kwenye ndoa kama wakati wa huyu mzee Baba V

Kwa walio single watahakikishiwa kupata maisha mazuri ya kupata couple wazitakazo!
Nawewe kama uko kundi lolote nauhakika utafurahia uongozi wangu!
Najiamini sana na nina uwezo kuliko Baba V (Skrepa kwa sasa)
 
Last edited by a moderator:
Kwanini wasipone binamu?
Mi ni mtu mwema naamini unanijua sana
Kuweni na matumaini yatakaa sawa!
Huyu mzee mwache apumzike nahisi hata uzee unachangia mabaya

huyu mzee anapenda sana kung'ang'ania madaraka sijui kama utawezana naye labda uonane na Katavi akupe ujanja wa kumng'oa. Maana kuna waliokuja na speed kama yako wakatulizwa kama kitenesi!
 
Last edited by a moderator:
huyu mzee anapenda sana kung'ang'ania madaraka sijui kama utawezana naye labda uonane na Katavi akupe ujanja wa kumng'oa. Maana kuna waliokuja na speed kama yako wakatulizwa kama kitenesi!
Ameshakubali kuachia ngazi...na hata akikataa kwangu atatoka kwanguvu.
Mi sio ummu kulthum
 
Last edited by a moderator:
Afadhali maana toka Ex mwenyekiti aliposema anatumia ile kitu ya tarime mie nimekosa kabisa imani nae..
 
ahsante mkuu Erickb52 kwa kutuweka kwenye kamati mimi na hubby Kaizer, kwa niaba yake nasema tunashukuru sana. na tunaahidi kutimiza majukumu yetu kwa uaminifu mkubwa huyu mwenyekiti aliyepita Baba V kwa kweli alikuwa dikteta sana. ni afadhali amevuliwa gamba. mwenyekiti mpya hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Asante sana DEMBA nafurahi kwakuwa nakuamini kwautendaji wako!
Karibuni sana!
 
Last edited by a moderator:
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…