Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
哦呀啊阿啊 🤣🤣🤣Mtakaokwenda hakikisheni mnakuwa na akiba ya Hela ya kujitegemea isijetokea usiku wa manane Njemba ikatimba afu inakuuliza kuhusu mzagamuano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
哦呀啊阿啊 🤣🤣🤣Mtakaokwenda hakikisheni mnakuwa na akiba ya Hela ya kujitegemea isijetokea usiku wa manane Njemba ikatimba afu inakuuliza kuhusu mzagamuano
Mkuu hii trip ungetafuta watu wengine uwatangszie sio umu jf palimojaa walimu ambao ni choka mbaya.ela ya chai hawana ijekua ya kwenda chinaJe, unatafuta uzoefu wa kipekee wa kusafiri kwenda China kwa siku 15 tu?
Karibu katika safari ya kutembelea mazingira ya kuvutia na utamaduni wa kipekee wa China!
Jiunge nasi kwenye safari yetu maalum ambapo utapata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kuvutia nchini China kwa muda wa siku 15.
Utapata kushuhudia mandhari ya kushangaza, mila na desturi za kipekee, na kupata uzoefu wa kipekee wa maisha ya Kichina.
Kwa maelezo zaidi na kujiandikisha, wasiliana nasi leo hii!
Usipitwe na fursa hii ya kipekee ya kutembea na kujifunza katika ardhi ya ajabu ya China. Karibu katika safari ya maisha!
Package ya safari:
1. Utalipiwa sehemu ya kulala kwa siku 15
2. Utalipiwa chakula kwa siku 15
Kujua zaidi juu ya hii safari jiunge kupitia:ScholarshipJunctionX | WhatsApp-Kanal
Usiwatishe wenzako China sio South Africa mkuu.哦呀啊阿啊 🤣🤣🤣
Nauli vipi?Maana hapo nimeona malazi na chakula tuHiyo safari haina gharama yeyote ni bure
Hili swala nimeliona kabisaMkuu hii trip ungetafuta watu wengine uwatangszie sio umu jf palimojaa walimu ambao ni choka mbaya.ela ya chai hawana ijekua ya kwenda china
萨瓦克在北京 买房英语Usiwatishe wenzako China sio South Africa mkuu.
Mkuu sasa mbona hiyo link miyeyusho, embu fanya kuicheki utupie upya tunaohitaji tuitumie.Hili swala nimeliona kabisa
Link inafunguka mkuuHii link uliyoweka haifunguki asee, passport yangu imekaa sana kabatini😂😂, fanya kutuma link ya uhakika mkuu
neno sahihi ktk hiyo sentensi ni kuwa seriousKuwa seriously hapa hatupo kuchezacheza.