Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Naona unaita ma brooMabinti na wanawake wa JF - Atoto , ephen_ , Lamomy , Mallerina , Evelyn Salt , Seran , shibela , Dr. Mariposa , Aaliyyah , nakwede97 , Demi , leo dada , Joanah , Joannah , kiss ov love - waiteni na wengine!
Acha ukorofi basi!Naona unaita ma broo
staki kuwa makini mahitaji katoto kiukiweliMabinti na wanawake wa JF - Atoto , ephen_ , Lamomy , Mallerina , Evelyn Salt , Seran , shibela , Dr. Mariposa , Aaliyyah , nakwede97 , Demi , leo dada , Joanah , Joannah , kiss ov love - waiteni na wengine!
Dada ake una wa kukupa hako katoto? Nimeanza kutamani pia😅Aahh!!!! Mi
staki kuwa makini mahitaji katoto kiukiweli
Ndo nashangaa, au unanipenda tu ila bado unanilingishia, si unayajua malingo ya bata yaani ni ile nataka, sitaki.Mshangazi haukutaki ila bado unakuzibia pole mwaya!
Wakaka wa Velar hawaiti mabinti machakani😎😎 Wadada wanataka RR Velar jamani.. hicho cha 15 million anakupiga nacho usoni ma mchambo bureee.. aje kwanza hapa machakani tulishe mifugoView attachment 3539110
Simba mwenda pole ndiye mla nyama. Na hivi ulisema wanaoringa ndiyo watamu, we vumilia tu.Ndo nashangaa, au unanipenda tu ila bado unanilingishia, si unayajua malingo ya bata yaani ni ile nataka, sitaki.
Ninae wa kunipa kenge mmoja hivi,, tatizo mimba haiingii!!!Dada ake una wa kukupa hako katoto? Nimeanza kutamani pia😅
Eeeeeh! Fursa adimu hii, nitembelee kwenye sanduku la siri nikwambie jambo muhimu.Aahh!!!! Mi
staki kuwa makini mahitaji katoto kiukiweli
Okay brooAcha ukorofi basi!
Haswaa umenitia nguvu kwa kweli mawazo ya kuokoka kisa hasira naona yameanza kukosa kichwa.Simba mwenda pole ndiye mla nyama. Na hivi ulisema wanaoringa ndiyo watamu, we vumilia tu.
Mrembo shida ni nini? au hujapata wa kukutoa out Valentine day, uko mawindoni?Okay broo
Kenge kabisa 🤣🤣 ndiyo maana mimba haiingii classmate 🤣Ninae wa kunipa kenge mmoja hivi,, tatizo mimba haiingii!!!
Haiingiije tena, nenda ukiwa una ovulate tu! Maji ya karafuu yawe maji yako ya kunywa usafishe hizo njia..Ninae wa kunipa kenge mmoja hivi,, tatizo mimba haiingii!!!
😅😅😅 Kwani hujawi ingia machakani weyeee .. au ndio wa kishua sanaWakaka wa Velar hawaiti mabinti machakani
Haswaa umenitia nguvu kwa kweli mawazo ya kuokoka kisa hasira naona yameanza kukosa kichwa.
Mrembo shida ni nini? au hujapata wa kukutoa out Valentines, uko mawindoni?
Aina noma broo unanitukana😂Mrembo shida ni nini? au hujapata wa kukutoa out Valentine day, uko mawindoni?
😜😜😜Kenge kabisa 🤣🤣 ndiyo maana mimba haiingii classmate 🤣
Sijui uzee!! Ntajaribu hii nitakupa mrejesho......Haiingiije tena, nenda ukiwa una ovulate tu! Maji ya karafuu yawe maji yako ya kunywa m usafishe hizo njia..