milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
HakikaHata yule aliyekuwa Boss wa Wizara ya Fedha Bw. Leopold Lwajabe aliyetekwa Dsm na baadaye tulitangaziwa na Jeshi la Polisi kwamba maiti yake 'iliokotwa msituni' huko huko Mkuranga. Suala hili linahitaji mjadala wa kina na utafiti wa kina kabisa.
Sijalalamika nimetumia mikono kubandika bandiko kakaMbona Unalalamika Sana Mkuu
Upuuzi gani kaka shetwaani ?!!moderater wa ccm naona leo unafuta JF.ila na mtoto nampelekea ili swala kuwa nyie ni wapuuzi
Ni wapi huko lilikoleta taharuki?Inakuwaje itengenezwe taharuki pale ambapo halmashauri inapotoa tangazo la ajira ya kuzika ndugu zetu wasiotambuliwa na wasio na ndugu ?!!![emoji44][emoji44]
Hivi zile ajira za kufanya kazi "MOCHUWARI" katika hospitali zetu huwa hazitangazwi ?!!
Hivi wanafunzi wa udaktari wanaposoma "ANATOMY" mwaka wa kwanza huwa hawatumii miili ya maiti ?!!
Zile "CADAVA-maiti" huwa ni watu wanaotambulika na jamii ?!!
Tumesahau ile kadhia ya CHUO KIKUU CHA IMTU kule Mbezi ?!!
Kwa kuwa JF ina watunduizi wa fikra basi hili tangazo la kutafuta wafanyakazi wa kuzika miili isiyotambulika wala si la kutuletea HOFU ,SONONA NA TAHARUKI....
Duniani kuna watu wapuuzi na hupuuzwa....
#Nchi Kwanza[emoji7]
#Tanzania milele[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
āTunatengeneza TAHARUKI isiyo na mashiko.....Inakuwaje itengenezwe taharuki pale ambapo halmashauri inapotoa tangazo la ajira ya kuzika ndugu zetu wasiotambuliwa na wasio na ndugu ?!!![emoji44][emoji44]
Hivi zile ajira za kufanya kazi "MOCHUWARI" katika hospitali zetu huwa hazitangazwi ?!!
Hivi wanafunzi wa udaktari wanaposoma "ANATOMY" mwaka wa kwanza huwa hawatumii miili ya maiti ?!!
Zile "CADAVA-maiti" huwa ni watu wanaotambulika na jamii ?!!
Tumesahau ile kadhia ya CHUO KIKUU CHA IMTU kule Mbezi ?!!
Kwa kuwa JF ina watunduizi wa fikra basi hili tangazo la kutafuta wafanyakazi wa kuzika miili isiyotambulika wala si la kutuletea HOFU ,SONONA NA TAHARUKI....
Duniani kuna watu wapuuzi na hupuuzwa....
#Nchi Kwanza[emoji7]
#Tanzania milele[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wapi tena zaidi ya taharuki humu JF ?!!Ni wapi huko lilikoleta taharuki?
Akili kubwa UMEONGEA....Watu hawaelewi kitu
Maiti wanaofanywa mazoezi ya vitendo mahospitalini waweza kuwa waliokotwa Bolivia au Venezuela huko hawawezi kuwa watanzania sababu waweza Julikana na ndugu na jamaa. Au wengine kabla kufa huacha wosia kuwa akifa hataki kuzikwa mwili wake utumike kwenye course za udaktari kama Cadava
Madaktari wanaosoma wakimalliza mazoezi yao hutakiwa wazikwe kwa heshima zote hawafukiwi kama takataka na wengi wa madaktari walioutumia huo mwili kwa mazoezi hulia sana siku ya mazishi yake
Wanalia sababu ndiye aliyefanikisha wao kujua vizuri mwili wa binadamu na kila wakati wanamtumia sasa kuzika huwa huzuni kubwa mno kwa wasomea udaktari sababu huyo kadava kisheria hufikia muda lazima azikiwe kwa heshima
Kwani wewe hujui kuwa kuna watu huwa wanafariki na ndugu huwa hawapatikani ndio huzikwa na Jiji au Halmashauri au umebarehe juzi hujui dunia inaendeshwaje?
Tena alikutwa amevalishwa jezi ya Chelsea huku amening'inia mtini.Hata yule aliyekuwa Boss wa Wizara ya Fedha Bw. Leopold Lwajabe aliyetekwa Dsm na baadaye tulitangaziwa na Jeshi la Polisi kwamba maiti yake 'iliokotwa msituni' huko huko Mkuranga. Suala hili linahitaji mjadala wa kina na utafiti wa kina kabisa.
Hakika nini? Wewe ndio umejua leo kuwa kuna maiti huwa zinazikwa na Halmashauri?Hakika
hela ya maji hii kwa maisha ya hukoKuna mchongo wa kuosha/kuandaa maiti huko ng'ambo. Dola 2,500 per month.
Hakikahaya yte anayeharibikiwa ni Samia! Yataandikwa kwenye historia ya utawala wake kuwa wakuliwa na quite a large number of unaccouted deaths katika utawala wake ambao walisadikiwa kuuawa na polisi na TISS iliyokuwa chini yake directly.
kawaida kila manispaa wapo kuna watu wanakosa ndugu wa kuwasitiri baada ya kufa nadhani zamani walikuwa wanawatumia magereza kuwazikamaiti sasa wameona waajiri kabisa..View attachment 3078971
Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu
View attachment 3078972
Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
Home boy huyo siku ya mazishi kule karagwe nana take akilia sana akisema chonka magufuli katerwe ne enkubaHata yule aliyekuwa Boss wa Wizara ya Fedha Bw. Leopold Lwajabe aliyetekwa Dsm na baadaye tulitangaziwa na Jeshi la Polisi kwamba maiti yake 'iliokotwa msituni' huko huko Mkuranga. Suala hili linahitaji mjadala wa kina na utafiti wa kina kabisa.