Haya! IGP kuwa mpole siku zako zinahesabiwa kuwepo ofisini kwako.
 
Attachments

  • 5806715-7a078a9fd5271675756864da3e486f1f.mp4
    25.2 MB
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya Alhamisi wiki iliyopita mpaka leo. alitoka mida ya jioni na kuaga kwamba anakwenda matembezi, hakurudi tena na hajulikani alipo. inasemekana katekwa na watu wasio julikana kwa atakayemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu namba 0752746751
 
Attachments

  • IMG_3390.jpeg
    186.9 KB · Views: 2
Mkuranga
 
Hata Kama ni hivyo why mkuranga tu itangaze nafasi vip Halmashauri zingine? Hazina au hazipati unknown patient??
 
Hata Kama ni hivyo why mkuranga tu itangaze nafasi vip Halmashauri zingine? Hazina au hazipati unknown patient??
Kwa mfano Amana Mwananyamala na Temeke hata Muhimbilli wote zipo asasi ambazo zinajitolea kwenye hilo jambo ila sio Mkuranga
 
Chadema tafuteni Kiki nyingine. Issue za utekaji hazina mashiko
 
Ila Moderator sijui hata hua mnafikiria nn mpaka kuhamisha uzi, sasa huu uzi kweli n wa kuuleta kwenye jukwaa la ajira?

Dah kweli kuwa kiongozi haina maana kuwa ww ndie unayejitambua zaidi ya wengine.
 
Zamu yako ikifika ndo utajua, hakuna mtu angeshangaa kama tangazo lingetolewa Dar ambapo kuna mortuary na hospitali nyingi lakini Mkuranga iwe na maiti ambazo halimashauri haiwezi kuzika ni maajabu ya karne
 
Hivi kweli kabisa umekaa ukawaza na ukaona hii ndio mbinu ambayo inawaumbua hao watekaji ?

Ni chombo kipi cha usalama kwa nchi yoyote ikiwa na nia ovu itatangaza nafasi kama hiyo hadharani na ijiokotee tu mtu wa kuja kuficha hayo mnayoyasema?.
 
Ila Moderator sijui hata hua mnafikiria nn mpaka kuhamisha uzi, sasa huu uzi kweli n wa kuuleta kwenye jukwaa la ajira?

Dah kweli kuwa kiongozi haina maana kuwa ww ndie unayejitambua zaidi ya wengine.
Wameleta makusudi maana wanajua vijana waliochapwa na maisha wapo tayari kwa lolote lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…