milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ajira siku hizi zinatangazwa centrally na Sekretariati ya Ajira Tanzania.View attachment 3078971
Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu
View attachment 3078972
Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
AiseeNi kiongozi wa Watekaji, anapatikana Chang'ombe Polisi, DSM
MkurangaMwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya Alhamisi wiki iliyopita mpaka leo. alitoka mida ya jioni na kuaga kwamba anakwenda matembezi, hakurudi tena na hajulikani alipo. inasemekana katekwa na watu wasio julikana kwa atakayemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu namba 0752746751
Sehemu yenyewe Mkuranga kwenye matukio ya wasiojulikanaView attachment 3078971
Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu
View attachment 3078972
Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
Hata Kama ni hivyo why mkuranga tu itangaze nafasi vip Halmashauri zingine? Hazina au hazipati unknown patient??Tunapokea kesi kama hizo kila uchwao
Kuna watu wanagongwa wanapoteza faham wanazinduka hawana kumbukumbu wanauguzwa wanakufa wengine wanapona wanapewa msaada na taasisi za misaada kutafuta ndugu
Jukumu letu kama watoa huduma ni kuokoa maisha wagonjwa wasiotambulika tunawabatiza UNKNOWN
Siku akipona akajulikana ndio gharama zitalipwa
Kwa mfano Amana Mwananyamala na Temeke hata Muhimbilli wote zipo asasi ambazo zinajitolea kwenye hilo jambo ila sio MkurangaHata Kama ni hivyo why mkuranga tu itangaze nafasi vip Halmashauri zingine? Hazina au hazipati unknown patient??
Zamu yako ikifika ndo utajua, hakuna mtu angeshangaa kama tangazo lingetolewa Dar ambapo kuna mortuary na hospitali nyingi lakini Mkuranga iwe na maiti ambazo halimashauri haiwezi kuzika ni maajabu ya karneYaani hapa kosa ni kutangaza tuu hii nafasi??
Mbona hizi kazi zipo miaka mingi na sidhani kama kuna mtanzania hadaway kusikia kuna watu wanazikwa na manispaa au halmashauri ya mji.
Kuna mambo wakati mwingine huwa mnajiaibisha sana tuu, watu kutekwa imekuwa ni suala la kisiasa zaidi kwa hizi trend mnazoleta humu.
Video Queen wa hii Smart Area tukamnunue wap!? Maana ni kama kawimbo ka JEJEMkuranga
Siku akitekwa Mamaako ndio utaelewaChadema tafuteni Kiki nyingine. Issue za utekaji hazina mashiko
Sawa mkuu... punguza hasiraSiku akitekwa Mamaako ndio utaelewa
mwambieni huyo maana siasa zimemvurugaTunatengeneza TAHARUKI isiyo na mashiko.....
Kila hospitali inakuwa na MAITI zisizotambulika....
Hospitali zetu hizi ziko chini ya HALMASHAURI....
Si kila mgonjwa aliyelazwa hospitali huwa ANAJULIKANA.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hivi kweli kabisa umekaa ukawaza na ukaona hii ndio mbinu ambayo inawaumbua hao watekaji ?Zamu yako ikifika ndo utajua, hakuna mtu angeshangaa kama tangazo lingetolewa Dar ambapo kuna mortuary na hospitali nyingi lakini Mkuranga iwe na maiti ambazo halimashauri haiwezi kuzika ni maajabu ya karne
Wameleta makusudi maana wanajua vijana waliochapwa na maisha wapo tayari kwa lolote lile.Ila Moderator sijui hata hua mnafikiria nn mpaka kuhamisha uzi, sasa huu uzi kweli n wa kuuleta kwenye jukwaa la ajira?
Dah kweli kuwa kiongozi haina maana kuwa ww ndie unayejitambua zaidi ya wengine.