choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
si mnasema ni international language, sasa mtu anazaliwa usukumani, utotoni lugha anayoijua ni kisukuma tuu, akianza shule ya msingi ndio anajifunza kiswahili, baadae ndio aje kwenye kingerezaHiyo leonel messi uko nchini kwake wanakitumia kingereza kama lugha rasmi?
English is not our native language tuvumiliane tu.Nawe tena?, siyo most of teachers, ni most of the teachers.
Hizi sentensi zote zinaweza kuwa sahihi kama grammar ndio mada iliyopo mezani japo kwa sentensi ya pili bado na mashaka nayo1. Which country has the most teachers in the world?
Vs
2. Which country has most of the teachers in the world?
Which sentence? Or which of those sentences is correct?
Mfano mwingine kingereza sio kipimo cha kuwa na akili angalia wachina hawajui kingereza na hawana mpango wa kukikuza lakini angalia maendeleo Yao.Wewe unataka kukuza mada tu, kuna watu na digrii 3 wameshindwa na wakatetewa kwamba kiingereza siyo muhimu, halafu wewe unaongelea walimu?
Okay homeboy thanks [emoji108]Sema nini home boy kwanza samahani sana kama utanielewa vibaya.
Hii michakato ya luzungu tufike hatua tuachane nayo tu man.Unajua tungo yako ni nzuri ila ina mambo mengi yasiyo na tija.Kwa mfano,neno commonly,sioni sababu yakuwepo hapo.Kingine home boy hivi ni kweli kuna trade language au diplomatic language?msaada tafadhali
Sema ningekuwa mimi ningesema hivi English Language plays a great role in trade and diplomacy globally
Hawa ban zilikuwa nje njeeHaki Elimi wako vizur sana, matangazo yao huwa hayachoshi Bila shaka ujumbe umefika vizur, haiwezkani ufundishwe lugja na asiyeijua vizur lugha yenyewe, nakumbuka Enzi za Kikwete washawahi pigwa ban eti wanaidhalilisha serikali
Bora Mimi sijasemaSasa home boy mbona unakanyaga cable na wewe.Hivi wanasema most teachers au most of teachers? Kingine hivi do we use a language or speak it?
Ukweriii ndio nini janja?Ule ndio ukweriiii, yani kama ticha hajui ngwini unategemea wanafunzi ndio waelewe? ujumbe mujarab kabisa ule na jamaa wanajua sana matangazo yao , nimeliskia leo nimecheka sana, ni yule yule jamaa aliyeigiza la kayumba, theri iz sambari guss eeeh what, eeh which grobari worming iz
mzee mara hii ushamsahau mzee wa chattle? hahaaaaaUkweriii ndio nini janja?
Na wale ni walimu kabisa wenye PhD wakiwakilisha walimu wote wenye bachelor degrees, diploma, na certificates!Wewe unashangaa nini hapo .
Magufuli na Ndalichako uliwahi kuwasikia kiingareza chao ππππ
πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
Duh! Sasa mnamruhusu vipi afundishe .. maana watoto wanachukua toka kwake .!!!Wako sahihi, Kuna mwalimu mwenzangu hapa nafundisha naye, kasoma kiswahili na kingereza, ukimuuliza anakwambia yeye hawezi kufundisha kiswahili, anapenda kufundisha kingereza
Njoo kwenye kingereza chenyewe Sasa, unaweza mtandika Kofi, siku moja alikuwa zamu, akawa anajaza daftari la zamu, Sasa nikawa nalipitia maana zamu yake na yangu zinafuatana, na daftari hujazwa kwa kingereza, unaweza tamani dunia ishuke, kwenye TEACHER'S REMARKS: yeye kaandika " the day it did well" sasa hiki ni kitu gani
Haki elimu wako sahihi.
OK,, sasa ndio nmekuerewa kweri kweerimzee mara hii ushamsahau mzee wa chattle? hahaaaaa
Sasa utakataa vipi wakati wote ni walimu, na aliyemthibitisha kuwa ni mwalimu ni serikali kwahiyo sisi hatuna mamlaka ya kum- disqualify, kidato Cha nne matokeo two ya mtihani wa taifa kulikuwa na A 0,B 0,C 3, D 12 na F 67Duh! Sasa mnamruhusu vipi afundishe .. maana watoto wanachukua toka kwake .!!!
Aisee..ndo baadae tunaongea "fent fod''
Kiongozi, hiyo ndio hali halisi ya elimu yetu, hali ni mbaya na ndipo elimu yetu imefikia hapo. Haki Elimu hawakurupuki, wanafanya utafiti na ku-dramatize matokeo ya tafiti zao.Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.
Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua kiingereza kwa watu wake?
My take:
Tangazo lile lipigwe stop asap!