Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ukitaka kuandika kitabu agana na nyonga.Sababu ya kifo hiki ni siri kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kuandika kitabu agana na nyonga.Sababu ya kifo hiki ni siri kubwa.
Ok...Idadi kubwa ya watu mida ile ya saa 6:30 usiku ninaamini wangekuwa wamelala vitandani mwao, sasa habari za msiba wangezipataje Chief barafuyamoto?
Ndotoni?
Wajumbe siyo watu!Tuombe Radhi wajumbe kwanza pili jifunze kuheshim maamuzi yetu.
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Uongozi wa Magufuli una taswira ya utoto sana na hili kaonyesha wazi hii taswira ya utoto.Wangejifunza jinsi Mkapa alipotangaza kifo cha Mwalimu Nyerere
Kulia kwake alikuwepo Waziri mkuu ndugu Sumaye, Kushoto kwake alikuwepo Dr Omar Ali Juma na wote walivaa kimamlaka
Sasa Magufuli anavaa Shati la mchelemchele kututangazia kifo cha Raisi Mstaafu huku tukiwa tumelala usiku na yeye anaongea utafikiri alikuwa usingizini
Kisha anatoka hapo anaenda msibani huku amevaa shati la CCM
Nadhani Mkapa alimtendea haki sana Mwalimu Nyerere jinsi alivyohandle msiba wake kuliko jinsi yeye alivyotendewa na utawala huu
Katika uongozi hakuna shocking news yeye kama comforter in chief anapokuwa kwenye confusion hivyo sisi wananchi turakuwaje ?Simlaumu Mh. Rais katika hili, kwake ilikuwa ni shocking news alipaswa kufarijiwa kwanza na kuandaliwa vema kabla hajatangaza rasmi msiba huo mkubwa. Kwa tuliokwishafiwa watu muhimu ndani ya family tunalitambua vema hili.
Unaweza mpigia simu mtu wa mbali ukamsahau aliye jirani nawe.
Ndio maana ya kuwa na wasaidizi wake na ndio wanapaswa kubeba hizi lawama. Tusijisahaulishe kwamba Rais nae ni mwanadamu mwenye nafsi kama tulivyo. Yako mapungufu yake mengi tu lakini yako yanayokuwa nje ya uwezo wake pia hata kama "...mkiniambia ndo mmeharibu kabisa!!"Katika uongozi hakuna shocking news yeye kama comforter in chief anapokuwa kwenye confusion hivyo sisi wananchi turakuwaje ?
Yaani unataka rais afarijiwe wakati yeye ni mfariji mkuu wa nchi ?
Kwanza kwanini katuficha chanzo cha kifo wakati anajua sheria inamtaka atoe taarifa ya chanzo cha kifo ?
Sawa sawa. UmeelewekaNaunga mkono hoja Kaka yngu na sijui kwa nini ndugu zetu awataki msaada wako pale labda kuna sehemu ulipishana nao maana nasikia narudia tena nasikia Wasukuma mnapenda sana kuweka visasi ila naomba NONGWA tuachieni wenyewe Wazaramo.
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Rejea RIOBA wa TBCHuyu nakuapia hata akiteuliwa akae yeye kuandaa mambo km hayo hataweza. Hapa yuko katika kujipendekeza lkn akishateuliwa akili zote zinapuputika. Rejea Mr Slowslow kabla na baada ya teuzi.
Mkapa ni wa tz na sisi tuko tanzania na taratibu za tz ndizo tunazotakaLabda kwa sababu tumezoea ‘breaking news’ za JF sijui raisi ateuewa akina nani.
Raisi ni mtu mkubwa sana kwenye nchi anapotokea yeye mwenyewe usiku mnene kutangaza breaking news ya kitu chochote iwe tumevamiwa, kuna kiongozi kafa or whatever ‘symbolic’ inaashiria umuhimu wa tukio kwa taifa na habari yenyewe trustworthy 100%.
Unataka watu watangaze habari za kifo na press conference sijui na kuvaa nguo sahihi; mambo mengine only in Tanzania, wapi kwengine wanafanya ivyo.
Tangazo la kifo cha Mandela au Nkuranziza likikuwa na press conference?
Kuelekeza Ni rahisi sana ukiwa nje ya ulingoPaskali
Baada ya kukosa teuzi umeanza zile mada zako halisi sio zile za kusifu na kuabudu
Kufuata sheria na protocol liko nje ya uwezo wa kibinadamu wa rais ?Ndio maana ya kuwa na wasaidizi wake na ndio wanapaswa kubeba hizi lawama. Tusijisahaulishe kwamba Rais nae ni mwanadamu mwenye nafsi kama tulivyo. Yako mapungufu yake mengi tu lakini yako yanayokuwa nje ya uwezo wake pia hata kama "...mkiniambia ndo mmeharibu kabisa!!"