Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

A
Aiseee
 
Pole umenikumbusha nilipojitosa kuuza ukwaju wa bakhresa 2018 dah kuanzia asubuh mpaka jion nimezunguka kuanzia mnazi mmoja kkoo mpaka ilala boma nikiuza ice cream 12 kati ya 150.

Umenikumbusha nilipofungaua biashara mule buguruni sokoni aka rozana asee usifanye baishara karibu na watu wa Tanga
 
Pole mkuu
 
Tumia kinyesi chako cha asbubui paka kwenye mikono na kingine m utie kwenye maji ogea, kingine tia kweny maji mwaga mbele ya duka lako kama unatoa vumbi, kama unaweza kula piga ata tonge moja
 
Umeongea kitu cha msingi sana
Maisha yanajengwa na misingi ya imani tulio wengi hupenda kujikatisha tamaa wenyewe
 
Umeongea kitu cha msingi sana
Maisha yanajengwa na misingi ya imani tulio wengi hupenda kujikatisha tamaa wenyewe
 
1. Biashara inahitaji uwe na nguvu kiroho ya nuru au giza
2. Kwenye anguko la biashara haya mambo hutokea ndiyo uleta ukamavu wa akili. Hutakiwi kukataa tamaa
3. Biashara hufanyi wewe tu kuwekeana husuda. Kukufunga wewe ili mtu mwingine auze kwenye biashara hiyo ipo.
4. Kutoka mtaji wa laki-1m kuna anguko. Kutoka 1m-50m tegemea anguko na kutoka 50m-m100. Ukivuka vyote hivyo hakuna atakayekusimamisha.
Nakupa hongera maana umefika hatua ya mafanikio, ukivuka hapo umekula maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…