Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi.

Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.

 
Leo hata pale manzese walikuwepo juu darajani, bongo hii shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…