Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ignored. Nyoko
sawa mchumba.asante Kwa mchango wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mchumba.asante Kwa mchango wako
Fanya kitu kwa uwezo wako....Kuna mtoto wa kigogo hapo ?
Hapa ndio wametoka Out😂😂Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi.
Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.
Chama kubwa iliyachukua na kuwauzia MabwanyenyeHakiksheni miji ina maeneo makubwa ya wazi "open spaces" yenye bustani na sehemu za kukaa, kujipumzisha na watoto kucheza hata kutoka familia za walalahoi. Maeneo ya wazi yaliouzwa au kutwaliwa kinyamela yarudishwe.
HahahWatu wa Dar wamezidiwa hata na watu wa Simiyu
Unaweza kwenda hata Jangwani pale ukaala upepo au vipi?Fanya kitu kwa uwezo wako....
Wengine Eid wanaenda Dubai....Wengine Coco beach ( Free entry), wengine Mikadi, wengine Kilimanjaro Hotel, wengine Daraja la manzese ( Free entry, soda 600, chips yai 2500).
Huyo mtoto wa kigogo anaweza kwenda Dubai, Amsterdam, Jeddah, au Kilimanjaro hotel, pesa ipo.
Kama pesa huna, nenda Daraja la manzese au Coco beach.
Yes....Unaweza kwenda hata Jangwani pale ukaala upepo au vipi?
HayaHuwa mnasherekea wapi? Next time muwe mnajenga public garden.
Mlishindwa hizo public garden basi Jenga Yako kama ya biashara