Kipindi nchi Ina heshima na adabu,jiji lilijengwa kwa kufuata sheria za miji,open spaces zilikua nyingi tu ambazo zilitumika kwa sherehe kama hizi,nimekulia kinondoni shamba,pale kinondoni A mitaa ile ilijengwa kwa utaratibu wa kisheria na pale penye soko kulikua na garden nzuri sana (kwa sasa ni uchafu tu),kinondoni sec school nyuma yake kulikua na uwanja safi kabisa wa mpira (ulitumika pia kama open space kwa watoto kucheza),kama unaelekea oyster bay Beach kulikua na gardens 2 nzuri mno (washenzi wamejenga kwa sasa),mikokoni pia watoto walikutumia kucheza kwa sasa mafisadi yamejenga hadi kwenye mkondo wa maji,eneo la Jangwani,mnazi mmoja,kidongo chekundu,mbele ya state House etc etc kote huko yalikua maeneo huru na salama kwa watoto kucheza,serikali ya ccm ime f.u.......up kila kitu