Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi .

Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu ? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania ? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia .

View attachment 2960998View attachment 2960999
Magu alijenga akasema watani zake wazaramo watapiga picha za harusi!
 
Hakiksheni miji ina maeneo makubwa ya wazi "open spaces" yenye bustani na sehemu za kukaa, kujipumzisha na watoto kucheza hata kutoka familia za walalahoi. Maeneo ya wazi yaliouzwa au kutwaliwa kinyamela yarudishwe.
Atleast ww umeongea la maana, ety mwingine anasema ccm atolewe madarakani utadhani wao ndio waliowabeba hao watoto na kuwamwaga hapo
 
Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi .

Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu ? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania ? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia .

View attachment 2960998View attachment 2960999Hawajaanza leo wala jana hao...Kitambo sana tangu Daraja la manzese, now Buguruni, Daraja la Mkapa, Tanzanite Bridge.

Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi .

Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu ? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania ? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia .

View attachment 2960998View attachment 2960999
View attachment 2960999Hawajaanza leo wala jana hao...Kitambo sana tangu Daraja la manzese, now Buguruni, Daraja la Mkapa, Tanzanite Bridge.

Acha Gubu...Just jana, leo na kesho tu...then hutawaona tena hapo hadi next Eid.

Kama kuharibika, lingeanza kuharibika Daraja la manzese.
 
Usipostaajab ya mussa utaona ya firauni.. hii sio habari mpya kwa maskini kusherehekea madarajani ipo na itakuwepo
 
View attachment 2960999Hawajaanza leo wala jana hao...Kitambo sana tangu Daraja la manzese, now Buguruni, Daraja la Mkapa, Tanzanite Bridge.

Acha Gubu...Just jana, leo na kesho tu...then hutawaona tena hapo hadi next Eid.

Kama kuharibika, lingeanza kuharibika Daraja la manzese.
Kuna mtoto wa kigogo hapo ?
 
Binadamu hatufanani na hatutafanana.
Haiwezekani wote tukutane SleepWay, Seacliff, Whitesands, City Mall nk.
Wengine wataishia huko huko kwenye maeneo yao.
Kikubwa serikali irudishe maeneo ya kusherekea sikukuu kama ilivyokuwa zamani ili watoto wapate mahali pa kukutana msimu wa sikukuu kama huu.
 
Labda wanaona CCM wameshindwa au hawana nia au utashi wa kusimamia hilo.
N kweli Ila imekuwa too much kuilalamikia ccm. Wao kama wapinzani kwann wasitumie kidogo walichonacho kwa jamii ili wananchi waseme hii tumepewa na chama pinzani.
 
CCM ndio wameuza maeneo yote ya wazi.
CCm ndio baba wa kila jambo la hovyo hapa Tanzania.
Maeneo mengi ya wazi ambayo watoto walikuwa wanasherekea sikukuu CCM wamejimilikisha kinyume cha utaratibu.
Miaka ya nyuma hapo Buguruni chama, eneo hilo lilikuwa linatumika kwa sikukuu kama hizi.
Lakini tayari limetwaliwa na ccm.
 
Back
Top Bottom