Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

Magu alijenga akasema watani zake wazaramo watapiga picha za harusi!
 
Hakiksheni miji ina maeneo makubwa ya wazi "open spaces" yenye bustani na sehemu za kukaa, kujipumzisha na watoto kucheza hata kutoka familia za walalahoi. Maeneo ya wazi yaliouzwa au kutwaliwa kinyamela yarudishwe.
Atleast ww umeongea la maana, ety mwingine anasema ccm atolewe madarakani utadhani wao ndio waliowabeba hao watoto na kuwamwaga hapo
 

View attachment 2960999Hawajaanza leo wala jana hao...Kitambo sana tangu Daraja la manzese, now Buguruni, Daraja la Mkapa, Tanzanite Bridge.

Acha Gubu...Just jana, leo na kesho tu...then hutawaona tena hapo hadi next Eid.

Kama kuharibika, lingeanza kuharibika Daraja la manzese.
 
Usipostaajab ya mussa utaona ya firauni.. hii sio habari mpya kwa maskini kusherehekea madarajani ipo na itakuwepo
 
Kuna mtoto wa kigogo hapo ?
 
Binadamu hatufanani na hatutafanana.
Haiwezekani wote tukutane SleepWay, Seacliff, Whitesands, City Mall nk.
Wengine wataishia huko huko kwenye maeneo yao.
Kikubwa serikali irudishe maeneo ya kusherekea sikukuu kama ilivyokuwa zamani ili watoto wapate mahali pa kukutana msimu wa sikukuu kama huu.
 
CCM ndio wameuza maeneo yote ya wazi.
CCm ndio baba wa kila jambo la hovyo hapa Tanzania.
Inaweza n kweli Ila kwa tabia yenu ya kulalamikia kila kitu ccm ipo siku mtashinda kutia mimba wake zenu na mtailalamikia ccm
 
Labda wanaona CCM wameshindwa au hawana nia au utashi wa kusimamia hilo.
N kweli Ila imekuwa too much kuilalamikia ccm. Wao kama wapinzani kwann wasitumie kidogo walichonacho kwa jamii ili wananchi waseme hii tumepewa na chama pinzani.
 
CCM ndio wameuza maeneo yote ya wazi.
CCm ndio baba wa kila jambo la hovyo hapa Tanzania.
Maeneo mengi ya wazi ambayo watoto walikuwa wanasherekea sikukuu CCM wamejimilikisha kinyume cha utaratibu.
Miaka ya nyuma hapo Buguruni chama, eneo hilo lilikuwa linatumika kwa sikukuu kama hizi.
Lakini tayari limetwaliwa na ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…