Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

Atleast ww umeongea la maana, ety mwingine anasema ccm atolewe madarakani utadhani wao ndio waliowabeba hao watoto na kuwamwaga hapo
Unapouza maeneo ya watu kupumzika na watoto kuchezea, hiyo maana yake ni kuwa umeamua wakacheze sehemu hatarishi. Simple TU kuelewa hiyo Wala haihitaji kwenda shule.
 
Unapouza maeneo ya watu kupumzika na watoto kuchezea, hiyo maana yake ni kuwa umeamua wakacheze sehemu hatarishi. Simple TU kuelewa hiyo Wala haihitaji kwenda shule.
Baba ako akifanya kosa, utamuondoa baba ako au utaondoa kosa.?
 
Ccm ni baba Yako!?
Tangu nijiandikishe kwenye daftari la kupiga kura 2005, sijawahi kushabikia chama chochote cha siasa, sijawahi kupiga kura na sitokaa nipige kura nchi hii iliyojaa wizi wa kura.

Nlchukua kitambulisho cha kupiga kura kwa ajili ya kujitambulisha tuu.
 
Nini kina thibitisha au kuashiria hao watu hapo wanasherekea sikukuu?
 
Huwa mnasherekea wapi? Next time muwe mnajenga public garden.

Mlishindwa hizo public garden basi Jenga Yako kama ya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…