Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

Unataka kumsahau Makonda aklini ? ingia chumbani kwa dada yako usiku wa manane ukiwa na boksa tu.
 
Kwa mujibu wa dada wa taifa, Mange Kimambi, makalio makubwa (Makonda) ndiye anaongoza makundi ya utekaji na mauaji.
 
Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
Sema tangu Shetani Bashite arudi kwenye ......
 
Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
Ni kama vile iliposemekana haonekani kuna matukio yalitokea?
 
Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
Hata Sativa alipotekwa, katika routes alizopitishwa kwanza walitoka Oysterbay Police Station DSM, alipelekwa Arusha Central Police Station (Kwa Paul Makonda)....

Baada ya hapo safari ilielekea kwenye mbuga za mapori ya Katavi mkoa wa Katavi na kupingwa risasi huko....

Unganisheni dots ndo mtajua mnaodhani ni binadamu kumbe siyo Bali ni mashetani ktk sura ya wanadamu.....

Bahati njema kuwa Mungu alimuokoa Sativa, hakufa. He's now living so he can tell the tale...
 
Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
No gentleman, si kweli,

Fuatilia historia vizuri.

kila wakati wa uchaguzi wa ndani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, matukio haya huwa hayakosekani. sasa sijui ni mzimu wa chacha huwaga unalalamika au ni nini?

na safari hii,
matukio yalianzia kwenye nafasi za chini za uongozi, lakini kadiri uchaguzi wa ngazi za juu unavyo karibia ndio joto la uchaguzi wa Chadema linakua kali zaidi na matukio mabaya zaidi yanaongezeka...

sijui ni nafasi ipi ya uongozi ndio hasa tatizo 🐒
 
Jiulize kwanini mtu akitekwa anapelekwa arusha kwanza kama sativa
 
Alipokuwa SA kuna tukio lilitokea ila hamkuongea kuhusu yeye, sasa hv amerudi mnamlisha maneno. Kwan hilo tukio ambapo hakuwepo lilifanywa na nani na sasa hv yanafanywa na nan
 
No gentleman, si kweli,

Fuatilia historia vizuri.

kila wakati wa uchaguzi wa ndani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, matukio haya huwa hayakosekani. sasa sijui ni mzimu wa chacha huwaga unalalamika au ni nini?

na safari hii,
matukio yalianzia kwenye nafasi za chini za uongozi, lakini kadiri uchaguzi wa ngazi za juu unavyo karibia ndio joto la uchaguzi wa Chadema linakua kali zaidi na matukio mabaya zaidi yanaongezeka...

sijui ni nafasi ipi ya uongozi ndio hasa tatizo 🐒
Usiwe punguani kiasi hicho!!

Azory alipotezwa baada ya kuandika jinsi raia wasio na hatia walivyouawa huko Kibiti, ilikuwa ni wakati wa uchaguzi gani?

Kanguye alipotezwa baada ya kusema kuwa Serikali ilikuwa haitendi haki, ilikuwa uchaguzi wa chama gani?
Ben alipotezwa baada ya kusema kuwa degree ya "shuja" ilikuwa fake, kulikuwa na uchaguzi gani?
Chaula alibambikiwa kesi na kisha kutekwa baada ya kuchana picha ya Samia, aliyoichora mwenyewe, ilikiwa wakati wa uchaguzi wa familia yako?

Kuna watu mmefunga mkataba na ujinga!!
 
relax kidogo bas,
halafu usitoke nje ya nyakati za uchaguzi wa ndani wa Chadema gentleman. Inasikitisha sana, inatia huzuni sana,

but siku ya mwisho mbele za Mungu kuna maswali ya kujibu 🐒
 
Back
Top Bottom