Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

Ukweli ndo huu mara tu tukiulizwa swali hili upo wapi? maswali huwa ni mengi sana kichwani.

Ukiwa sehemu hatarishi hapo sasa ndo wasiwasi unakuwa mkubwa unajiuliza hivi kaniona au kaambiwa nilipo.

Inaweza chukua dk1-2 kujibu swali hili mazee.Mara nyingi huwa ni mtego usikurupuke kujibu kama uko
eneo tatanishi mazee.

Imagine Mungu mjuzi wa yote na mwenye uweza wote nikweli alikuwa hamuoni Adamu alipokuwa amejificha? jibu alikuwa anamuona ila ni mtego tu.

kuwa makini kujibu swali hili hasa akiuliza wife /mchepuko!
Vipi unaulizwaga nini⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️
 
Yaani hapo ukiingia deep lazima ujiulize maswali mengi sana inamaana yote Mungu alikua anasubiri yatokee kwanza kisha aje kuwasambaratisha? Maana Mungu ni muweza wa yote sasa alishindwaje kumzuia Shetani asimpe Mwanamke tunda pale bustanini kwanini Mungu hakuzuia jambo hilo lisitokee? Inamaana Mungu aliweka mtego makusudi kisha akasubiri wanase?
Aliwakataza kabla sasa alitaka kupima utii wao na ni wapi wanasikiliza zaidi kati ya Mungu na shetani
 
Back
Top Bottom