Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

Kwisha habari yako na pale juu umesema siku 1 ya wapi ni sawa na miaka 1000?
Ufunuo wa Yohana 20:3

[3]akamtupa katika kuzimu, akamfunga, akatia muhuri juu yake, asipate kuwadanganya mataifa tena, hata ile miaka elfu itimie; na baada ya hayo yapasa afunguliwe muda mchache.

Rudia tena kusoma hapa mkuu
 
Sawa kuzimu na miaka ya 1000 ya kuzimu ni sawa na siku 1 kwa hio kuzimu ndio huko huko Mbinguni?
 
nimekuambia kuzimu sio mbinguni, ila amefungwa miaka 1000 kwa hesabu ya mbinguni, ingekuwa hesabu ya duniani kifungo chake kingekuwa kimeisha, kama kuzimu wanahesabu miaka tofauti sijui, ila amefungwa kifungo kwa hesabu ya mbinguni
 
ndio maana nimekuambia, unauliza maswali pengine wewe majibu yake huna, nimekujibu huko juu, ulianza kuniuliza Mungu ni nani? nimekujibu vizuri.

labda nikuulizwe swali, shetani ni nani?
Nimeshajibu mara nyingi hilo na nimekwambia mara nyingi na nakwambia tena hata ukibisha ila Shetani ni Upande wa Pili wa Mungu, full stop
 
nimekuambia kuzimu sio mbinguni, ila amefungwa miaka 1000 kwa hesabu ya mbinguni, ingekuwa hesabu ya duniani kifungo chake kingekuwa kimeisha, kama kuzimu wanahesabu miaka tofauti sijui, ila amefungwa kifungo kwa hesabu ya mbinguni
Wewe unajitengenezea story ya kwako ndio maana nikakuuliza kuzimu na Mbinguni hakuna tofauti? Unasema haujui maana yake knowledge yako bado ndogo huwezi kujibu maswali magumu km hayo kwa majibu mepesi hivyo tena na tuvimstari vya kuokoteza ili kutetea hoja

Maana yake km kuzimu miaka 1000 ni sawa na siku 2 za duniani basi sasa hivi Mjomba Shetani yupo live hapo anakupigia misele tu si ndio?
 
Wewe unajitengenezea story ya kwako ndio maana nikakuuliza kuzimu na Mbinguni hakuna tofauti? Unasema haujui maana yake knowledge yako bado ndogo huwezi kujibu maswali magumu km hayo kwa majibu mepesi hivyo tena na tuvimstari vya kuokoteza ili kutetea hoja
Aisee hiyo mistari sijaokoteza, nimekupa ushahidi wa ninachosema na nilicho na uhakika nacho, ila wewe hata ya kuokoteza basi sijaiona kuthibitisha hilo unalosema
 
Mifano mingi nimeshaeleza sitaki kurudia rudia kitu hicho hicho tu hujaelewa basi acha ila elewa hivyo Mungu na Shetani ni Pande mbili za Shilingi huku Bichwa na huku Mwenge
 
Back
Top Bottom