Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

sasa si nimekuwekea na ushahidi wa andiko, nimekuambia huko juu, utawala wa shetani umevurugwa na amefungwa ndio kazi iliyompeleka Yesu kuzimu, leta swali lingine
Kwa hio yaan unajifungafunga ntakupiga Swali uzimie mkuu maana mimi sina maswali rahisi km unavyochukulia kwa hio Shetani amefungwa minyororo ila hajafa mpaka sasa bado yupo anaishi huko kuzimu na minyororo yake? Una uhakika?
 
piga hayo maswali mkuu, niko na wewe tangu saa nne na saizi ni saa nane kasoro, na sijifungifungi mbona niko wazi kabisa.

Kukujibu swali lako, jibu ni ndio kwa mujibu wa maandiko amefungwa na jeshi lake, baada ya miaka 1000 watafunguliwa kwa muda mchache
 
Baada ya miaka 1000 watafunguliwa sawa, haya niambie Shetani na Jeshi lake walifungwa mwaka gani na wanafunguliwa mwaka gani?
 
Ukiuliza hivyo nami nitakuuliza kwani Yesu alikufa mwaka gani, Maandiko yanasema watafunguliwa baada ya miaka elfu, itakuwa mwaka gani hilo sijui, uliza swali mkuu mbona unazunguka nenda moja kwa moja pale unataka tufike
 
Umesema baada ya mwaka elfu 1 kufanyaje? Mboni unakimbia swali jibu swali Shetani na Jeshi lake watafunguliwa lini mwaka gani na walifungwa lini mwaka gani?
 
Nimesema baada ya miaka elfu moja ya kifungo kuisha atafunguliwa, kwa muda mchache kabla hajafungwa kifungo cha milele, sasa watafunguliwa mwaka gani hakuna ajuaye, soma ufunuo 20:1-3 nimekuwekea hapo juu.
 
Nimekwambia usikimbie tu maana mwishoni kuna kutoka Nduki, twende taratibu Mungu ni Roho na Shetani ni Roho, unakubari au unakataa? Nasubiria uingie king nimalize mchezo
Kwanza hayo ya huko juu tumekubaliana sio? na kuzimu umeelewa ni wapi si ndio? na umeshajua joka limefungwa yaani namaanisha tumekubaliana?

Mungu ni roho, Shetani ni roho haya tumalize mchezo sasa
 
Nimesema baada ya miaka elfu moja ya kifungo kuisha atafunguliwa, kwa muda mchache kabla hajafungwa kifungo cha milele, sasa watafunguliwa mwaka gani hakuna ajuaye, soma ufunuo 20:1-3 nimekuwekea hapo juu.
Basi huko naona huwezi kujibu nimekwambia sina maswali mepesi, kwa hio hapo ulipo Shetani hayupo sasa hivi yupo kuzimu kapigwa minyororo mpaka ipite miaka 1000 si ndio?
 
Mwaka aliokufa Yesu mboni unafahamika, wewe niambie Shetani alifungwa mwaka gani na atafunguliwa mwaka gani? Na hio kufunguliwa baada ya miaka elfu 1 kuanzia wapi?
sawa kama inafahamika vizuri, sasa joka lilifungwa kuanzia hapo, mpaka miaka 1000 kwa hesabu za kimbingu, sio hesabu zetu wanadamu, maana utauliza mbona miaka 1000 imepita bado, hesabu za kimbingu kwa miaka 1000 ikitimia atafunguliwa kwa muda mchache
 
Back
Top Bottom