kisumbusi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 795
- 946
Kwamba Yesu alifunga siku 40 hali wala kunywaSasa km ni hivyo Yesu alipokufa alienda kufuata nini kule kuzimu? Shetani ndie aliemfuata Yesu wapi? Mboni km unajivuruga mwenyewe maandiko yanasema Yesu baada ya kufa alienda kuzimu (mwenyewe umesema Shetani yupo kuzimu) akaa huko siku 3 baada ya hapo siku ya 3 akafufuka kutoka wafu, hivi unaelewa sijui
kula nini?
kunywa nini ?
Kwamba Yesu alifunga siku 40 hali wala kunywaWewe bado sana huelewi, Yesu alipofunga siku 40 akiwa Jangwani bila kula alijaribiwa na Mungu au na Shetani? Shetani yupo kuzimu kwa hio pale jangwani aliekua anamjaribu Yesu ni Mungu mwenyewe sio Shetani? Unasema kwamba
Kwa hio Yesu alitumia mawazo kumuita Shetani ili aje amjaribu au Yesu alimuita na kumshawishi Shetani aje amjaribu akiwa anafunga siku 40?
kula nini ?
kunywa nini ?
unatakiwa utulie hapo usikurupuke
yuko jangwani anajaribiwa na shetani
watu wakimwona yule nyoka wa kwenye movie ya Yule jamaa aliye igiza kama Yesu wanajua yule nyoka ndiyo shetani
Haya mambo ni magumu kweli kweli inahitaji utulivu kujifunza
la sivyo utapigwa chenga sana