Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

Basi huko naona huwezi kujibu nimekwambia sina maswali mepesi, kwa hio hapo ulipo Shetani hayupo sasa hivi yupo kuzimu kapigwa minyororo mpaka ipite miaka 1000 si ndio?
mkuu una usingizi itakuwa, hilo swali nimeshalijibu, au yameisha?

Haujathibitisha hoja yako kuwa Mungu ndiye shetani side B usisahu tulikotoka, na ninategemea tuko kwenye hoja hiyo usihame
 
sawa kama inafahamika vizuri, sasa joka lilifungwa kuanzia hapo, mpaka miaka 1000 kwa hesabu za kimbunga, sio hesabu zetu wanadamu, maana utauliza mbona miaka 1000 imepita bado, hesabu za kimbingu kwa miaka 1000 ikitimia atafunguliwa kwa muda mchache
Mjomba Jose nionyeshe kwenye biblia palipoandikwa hivyo kwamba hizi ni hesabu za kimbingu au unataka kunipiga kamba umeniona Mimi mtoto wa Sunday School au sio? Acha kamba zako hizo
 
mkuu una usingizi itakuwa, hilo swali nimeshalijibu, au yameisha?

Haujathibitisha hoja yako kuwa Mungu ndiye shetani side B usisahu tulikotoka, na ninategemea tuko kwenye hoja hiyo usihame
Hujajibu swali unaruka swali nimekuuliza hapo ulipo Shetani yupo au hayupo? Jibu swali maana nakupeleka sehemu utafika tu
 
Mjomba Jose nionyeshe kwenye biblia palipoandikwa hivyo kwamba hizi ni hesabu za kimbingu au unataka kunipiga kamba umeniona Mimi mtoto wa Sunday School au sio? Acha kamba zako hizo
2 Petro 3:8

[8]Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
 
sawa kama inafahamika vizuri, sasa joka lilifungwa kuanzia hapo, mpaka miaka 1000 kwa hesabu za kimbingu, sio hesabu zetu wanadamu, maana utauliza mbona miaka 1000 imepita bado, hesabu za kimbingu kwa miaka 1000 ikitimia atafunguliwa kwa muda mchache
Wewe natamani nikutwange maswali mazito ila bahati mbaya huna knowledge ya kutosha maswali yangu huwezi kujibu, kwanza haujui Yesu alikufa Mwaka gani hilo ni moja linaonyesha wewe knowledge yako ni ndogo, hapa nasukuma upepo tu ila subiri tufike tunapoenda nitakuonyesha kwanini nakwambia Mungu na Shetani ni kitu kimoja
 
2 Petro 3:8

[8]Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
Sawa sawa hio siku 1 anayoizungumza hapo ni ya wapi mbinguni, kuzimu au duniani? Sinaga maswali mepesi Mimi na ili unijibu inabidi uwe kichwa kweli kweli usikurupuke km kichwa panzi utanasa
 
Wewe natamani nikutwange maswali mazito ila bahati mbaya huna knowledge ya kutosha maswali yangu huwezi kujibu, kwanza haujui Yesu alikufa Mwaka gani hilo ni moja linaonyesha wewe knowledge yako ni ndogo, hapa nasukuma upepo tu ila subiri tufike tunapoenda nitakuonyesha kwanini nakwambia Mungu na Shetani ni kitu kimoja
Huna maswali mkuu, ungekuwa nayo ungekuwa umeshayaweka, weka hayo maswali ili uone kama nashindwa, unasema nina knowledge maswali yote uliyouliza nimekujibu na umeridhika maana nimekujibu kwa uthibitisho, weka hayo maswali magumu nayataka, achana na hayo mepesi
 
2 Petro 3:8

[8]Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
Na pia huyo Bwana anaemzungumza hapo ni Bwana yupi? Anazungumzia Mbinguni, duniani au kuzimu? Shetani amefungwa wapi? Shetani kafungwa kuzimu, Duniani au mbinguni?
 
Huna maswali mkuu, ungekuwa nayo ungekuwa umeshayaweka, weka hayo maswali ili uone kama nashindwa, unasema nina knowledge maswali yote uliyouliza nimekujibu na umeridhika maana nimekujibu kwa uthibitisho, weka hayo maswali magumu nayataka, achana na hayo mepesi
Jibu maswali hayo unachukulia mepesi jibu nikugonge maswali mpaka uamke na hangover ya maswali
 
Na pia huyo Bwana anaemzungumza hapo ni Bwana yupi? Anazungumzia Mbinguni, duniani au kuzimu? Shetani amefungwa wapi? Shetani kafungwa kuzimu, Duniani au mbinguni?
Kuhusu,shetani alilofunga nimekujibu huko juu.

Kuhusu Bwana yupi ni Bwana Mungu

Kuhusu mahali ni Mbinguni
 
Back
Top Bottom