Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

Ye'kalenga demu.
Hata mimi nikiulizwa swali hilo hukasirika na kughadhabika hasa, nikihisi kuporwa uhuru wangu hata huo mdogo niliobakishiwa/niliojibakizia!
Uko sawa mkuu. Yaani Huwa nahisi ameniona ? Kwanini anauliza? Ana mashaka na Mimi ? Kuna Nini huko ama nimefanya Nini?
 
Watu mna maswali magumu sana
Hapa hata akija pengo na I'd fake hawezi toboa lazima alale mbele hawezi jibu swali hata Moja. Au yule padre kitima hatoboi na wapo humu hao wote pengine huenda ndo wewe mmoja wao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wakuu zerominus10 Na Daudi1
Katika majidiriano yenu nimejifunza vingi sana asee. Wengi wanaweza kusoma Kwa mlengo Tofauti lkn kwangu Kuna vitu nimetoa na hivi ndivyo napenda. Daima Huwa napenda challenge na maswali tofauti tofauti yahusuyo Imani yetu ya kikristo kufanya Hivi nimejikuta najua vitu vingi sana hivyo na wapongeza Kwa dhati kabisa.Ahsanteni sana
 
Kwa hiyo wachungaji ni miti isiyo zaa matunda
ehe nimatunda gani hayo hebu tusanue tuyajue
Wewe unajua matunda ambayo yamepandwa kwa wachungaji au wachungaji ni miti ya aina gani? Wataenda kuunguzwa kwenye tanuru lisilozimika Mungu hana utani na wanawatumia watu kwa Jina lake kujipatia chochote bila maagizo yake au kinyume na maagizo yake

Musa aliambiwa na Mungu : Ukitaka upate maji hapa Jangwani nenda na fimbo yako kwenye ule mwamba piga mara 1 tu na fimbo yako kwenye ule mwamba kisha subiria maji yatatoka, Musa baada ya kupiga mara 1 akaona maji hayatoki huku watu wamemtolea macho Musa akasubiri kimya akasema Mungu usinitanie usinione Mimi zoba au boya fulani sawa umesema mara 1 maji yatatoka maji hayajatoka sasa na Mimi napiga ya kwangu ya pili kwa nguvu zangu zote maana ile ya mwanzo nilipiga kidogo tuone Mimi na wewe nani ana nguvu za kuwezesha maji kutoka kwenye mwamba kwa kuuchapa mwamba na fimbo, kwenye kupiga mara ya pili kweli maji yakatoka kwenye mwamba mwaaaaaaaaaaaa

Mungu akamuita Musa chobix chobingo kisha akamwambia wewe bwamdogo ni fala kwa hio mimi nilikwambia upige mara 1 ukajifanya wewe ndio mtabe na una nguvu kuliko Mimi Mungu ukapiga mara ya pili sasa nitaanza kukukaanga hapa hapa duniani nakwambia hivi wewe hapo Musa Kanani hukanyagi utafia hapa hapa jangwani Kanani utapasikia kwenye bomba hufiki ng'oo na kweli Musa hakufika Kaanani alifia pale pale Jangwani, usicheze na Mungu

Ushaelewa vizuri ninapokwambia hawa wachungaji ni kuni zinazosubiri kwenda kuingizwa kwenye tanuru la moto?
 
Wakuu zerominus10 Na Daudi1
Katika majidiriano yenu nimejifunza vingi sana asee. Wengi wanaweza kusoma Kwa mlengo Tofauti lkn kwangu Kuna vitu nimetoa na hivi ndivyo napenda. Daima Huwa napenda challenge na maswali tofauti tofauti yahusuyo Imani yetu ya kikristo kufanya Hivi nimejikuta najua vitu vingi sana hivyo na wapongeza Kwa dhati kabisa.Ahsanteni sana
Karibu sana mkuu
 
Mungu alijua kama shetani ataenda kwa sababu ya kule kujiiinua kwake ndio maana alienda kwa kumbembeleza alipenda sana kuwa juu kuliko Mungu
Kwa hio unataka kusema kwamba Mungu na Shetani walikua wana upinzani toka kitambo hicho? Kwa maana hio Mungu alimuacha tu Shetani aendelee na harakati zake za kumchombeza bibie Hawa huku yeye anawaangalia tu?
 
Yan kama una kumbuka shetani alikuwa mtu mhimu kule mbiguni alipogundua hilo akaanza kujiikweza kiasi cha kutaka kuwa juu ya Mungu
Majeshi ya mbiguni yakamtimua ndo kuangukia duniani sasa ikumbukwe hawa wakina Adam ndo waliko so shetani akachukulia udhaifu wa hawa ilimrad kuendeleza upinzani na Mungu ndo maana sasa Mungu aliwaonya mwanzo akaonyesha vitu vya kula na am avyo hawaruhusiwi kula sasa shetani kashawishi kwa nmna ya hekima aliyokuea nayo mpk akamdanganya hawa
 
Mboni umechanganya mambo kwa hio hapa duniani bustani ya Hedeni ipo wapi?
 
Ndio ukae ukijua kwa Mungu kuna moto ulao maana Mungu ni Moto ulao alimwambia Musa Mimi ni Moto ulao vua viatu Musa hapa ni mahala patakatifu
Kwani Musa wakati huo alikuwa ameenda mbinguni!?
 
Back
Top Bottom