Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
International hit songs za mwisho mwisho nlizosikia toka usa ni rockabye ya clean bandit, cheap thrills ya sia, labda niiweke summer ya Calvin Harris, sorry ya Justin Bieber baada ya hapo ni kimya.
Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013 nlikuwa sina smartphone ila ilikuwa ni hit song from hit song toka usa, kina rihana, Bruno Mars, Justin Timberlake, pitbull ft marc Anthony, neyo, Chris brown, lmfao party rock anthem, maroon 5 moves like jagger, Jennifer Lopez, Niki minaj, usher, walikuwa wanatoa nyimbo zinazohit kweli kweli, nilikua sina simu janja ila nyimbo nikiisikia mtaani mara moja nitatamani kuitafta tena
Sahiv naona nyimbo zinazo hit hapa bongo ni nyimbo toka Nigeria, nlijaribu kuangalia bet awards juzi kati, na nime- search YouTube songs zilizo hit kule USA, naona wasanii wa USA sahivi wanaimba upuuzi tu.
Kuna mwingine anawaza ninavowaza?
Extrovert Lamomy Joannah mshamba_hachekwi atug Evelyn Salt DeepPond mzabzab Poor Brain To yeye Equation x Damaso Nikifa MkeWangu Asiolewe The only