Tangu mwaka 2017, naona kama hakuna international hit song yoyote toka marekani

Haufuatilia muziki vizuri....muziki umebadilika. Kama wewe ni wa 74 taste ya vijana wa sasa imebadilika.

Flowers ya mwaka Jana tu ya Miley ina views karibu bilioni moja YouTube.

Hip hop ndiyo usiseme imebadilika hatari.
Wazee wa mwaka 2024 nyimbo zao ndio hizo alizotaja mleta thread

Kazi ya fasihi ina kizazi kinacho badilika kulingana na muda
 
Mi nahisi sababu hata utazamwaji wa television umepungua km MTV,TRACE ......na ukicheki watu wa america hit sio lazma itrend kwa views

Pili miaka ya hivi karibuni
Ufuatiliaji wa muziki na mpira umepungua sana
Ufuatiliaji ulioibuka ni wa siasa...hasa toka vita na hizi pandemic disease km corona kutokea

Na sio mziki tu hata tunzo za muziki na mpira umaarufu wake umeshuka kidogo
 
Mziki wa Kimarekani umekuwa mid kwenye genres karibia zote. Hata trap yenyewe na mumble rap imeshuka.

2012 to 2015 niliona competition kali kwenye rap. Ukali ukaja mwishoni kuishia kwenye 2018 hivi. Baada ya hapo ni wasanii na songs zinazotrend kwa reels na Tiktok challenges.

Kina Rihanna, Beyonce, Minaj wanakuwa replaced eti na kina Ice Spice, Doja Cat na Meghan Thee. Viwango vinavyoshika hatamu ni duni.
 
Ila ujue mkuu mwaka jana Beyonce alikimbiza sana kwenye tour zake kapiga sana hela kwa mwaka huu hamna msanii alievunja rekodi ya Beyonce upande wa tour kwa mwaka jana na alikuja na Album yake inaitwa Cowboy Carter mwaka huu imepiga hela na bado ana
Renaissance World Tour inaendelea
 
Haufuatilia muziki vizuri....muziki umebadilika. Kama wewe ni wa 74 taste ya vijana wa sasa imebadilika.

Flowers ya mwaka Jana tu ya Miley ina views karibu bilioni moja YouTube.

Hip hop ndiyo usiseme imebadilika hatari.
Hiyo nyimbo ya flowers ya Miley Cyrus nimetoka kusikiliza sahivi, sielewi hata anachoimba, naiona ya hovyo Daby
 
Ila ujue mkuu mwaka jana Beyonce alikimbiza sana kwenye tour zake kapiga sana hela kwa mwaka huu hamna msanii alievunja rekodi ya Beyonce upande wa tour kwa mwaka jana na alikuja na Album yake inaitwa Cowboy Carter mwaka huu imepiga hela na bado ana
Renaissance World Tour inaendelea
Hiyo tour sio matokeo ya kazi ya mwaka huu. Tour inasababishwa na mkusanyiko wa juhudi za miaka kadhaa, Beyonce kaimba miaka ana albums, rekodi, tuzo na achievement kubwa kimziki. Hata asingekuwa na album bado angefanya tuzo angeuza.

Beyonce wa 2024 hawezi mzidi Beyonce wa 2015 uko. Watu wanaongezeka majukumu ta familia, age na kuchoka kazi.
 
Habarini,

International hit songs za mwisho mwisho nlizosikia toka usa ni rockabye ya clean bandit, cheap thrills ya sia, labda niiweke summer ya Calvin Harris, sorry ya Justin Bieber baada ya hapo ni kimya.

Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013 nlikuwa sina smartphone ila ilikuwa ni hit song from hit song toka usa, kina rihana, Bruno Mars, Justin Timberlake, pitbull ft marc Anthony, neyo, Chris brown, lmfao party rock anthem, maroon 5 moves like jagger, Jennifer Lopez, Niki minaj, usher, walikuwa wanatoa nyimbo zinazohit kweli kweli, nilikua sina simu janja ila nyimbo nikiisikia mtaani mara moja nitatamani kuitafta tena

Sahiv naona nyimbo zinazo hit hapa bongo ni nyimbo toka Nigeria, nlijaribu kuangalia bet awards juzi kati, na nime- search YouTube songs zilizo hit kule USA, naona wasanii wa USA sahivi wanaimba upuuzi tu.

Kuna mwingine anawaza ninavowaza?

Extrovert Lamomy Joannah mshamba_hachekwi atug Evelyn Salt DeepPond mzabzab Poor Brain To yeye Equation x Damaso Nikifa MkeWangu Asiolewe The only
Not Like Us?
 
Umesikiliza album yake ya mwaka huu mkuu?
 
God's Plan?
 
Back
Top Bottom