T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hoja yangu mbona simple, kama unatazama number of streams Michael Jackson ana wasikilizaji 44 million kwa mwezi kule Spotify, ila album yake ya mwisho ni 2001. Je mziki wa MJ umekuwa bora hii miaka ya 2020s wakati kafariki 2009?Hoja yako hasa ni nini mkuu 😃😄 mziki ni number mkuu kama utapataje hit song bila number
Nimekwambia kuhusu album ya Beyonce mpya huijui na juzi kafanya show NFL pengine hata hujui kuhusu NFL
Kama unatazama numbers best performing album ya Beyonce ni ya mwaka gani? Hii Cowboy hata top 3 haikai.
Beyonce kufanya show NFL 2024 ndio kunamfanya awe bora mwaka huu kuliko miaka mingine?
Mtu ana tuzo za Grammy nyingi kuliko msanii yeyote kuwahi tokea duniani, hizo kazipata kabla ya 2024 ila unakuja kumuona ni bora mwaka huu kisa kafanya show ya dakika kadhaa NFL, katoa album mbovu ile mbaya na ana streams 55M Spotify (ambapo top streams ni nyimbo za albums zilizopita sio hii ya 2024) ???
Mashabiki wa ngoma za asili mna shida ya uelewa wa American music industry.