Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
We jamaa unajua Mziki, Safi sanaDie with a smile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unajua Mziki, Safi sanaDie with a smile
Zipo nyingi labda siyo za taste yako kwa vile hit kubwa sasa ni za waimbaji wa kike.Habarini,
International hit songs za mwisho mwisho nlizosikia toka usa ni rockabye ya clean bandit, cheap thrills ya sia, labda niiweke summer ya Calvin Harris, sorry ya Justin Bieber baada ya hapo ni kimya.
Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013 nlikuwa sina smartphone ila ilikuwa ni hit song from hit song toka usa, kina rihana, Bruno Mars, Justin Timberlake, pitbull ft marc Anthony, neyo, Chris brown, lmfao party rock anthem, maroon 5 moves like jagger, Jennifer Lopez, Niki minaj, usher, walikuwa wanatoa nyimbo zinazohit kweli kweli, nilikua sina simu janja ila nyimbo nikiisikia mtaani mara moja nitatamani kuitafta tena
Sahiv naona nyimbo zinazo hit hapa bongo ni nyimbo toka Nigeria, nlijaribu kuangalia bet awards juzi kati, na nime- search YouTube songs zilizo hit kule USA, naona wasanii wa USA sahivi wanaimba upuuzi tu.
Kuna mwingine anawaza ninavowaza?
Extrovert Lamomy Joannah mshamba_hachekwi atug Evelyn Salt DeepPond mzabzab Poor Brain To yeye Equation x Damaso Nikifa MkeWangu Asiolewe The only
Wewe kaa kimya haujui mziki kwanza unasema after hours sio hit song😃😄😄😄😃😃😃😃 Daby unamuelewa huyu jamaa kwanza anamjua hata the Weeknd huyu au kadandia madaHizi zote sio hit songs labda kama hamjui hit songs ni nyimbo za aina gani.
Zipo nyingi labda siyo za taste yako kwa vile hit kubwa sasa ni za waimbaji wa kike.
View: https://www.youtube.com/watch?v=eVli-tstM5E
View: https://www.youtube.com/watch?v=Sl6en1NPTYM
Huu wimbo hapa chini ni wa mnigeria lakini unajulikana kwenye vituo vya redio kama wa Selena Gomez
View: https://www.youtube.com/watch?v=WcIcVapfqXw
Na Ngoma kalii mbona wanatoa tatizo hamsikiliziTour wasanii kibao wa wazamani wanafanya kwa kutumia base ya mashabiki wao
Naona unakomaa na the weekend..lakini ukweli ni kwamba hit kali zimepungua sana Kwa USA..niambie wimbo Gani wa marekani umevuma Africa kama tswala bam ya south Africa..Wewe kaa kimya haujui mziki kwanza unasema after hours sio hit song😃😄😄😄😃😃😃😃 Daby unamuelewa huyu jamaa kwanza anamjua hata the Weeknd huyu au kadandia mada
Nyie sijui mnataka hit Gani mnapima hit kwa vigezo Gani usikute hata nyimbo hizi na wasanii Hawa huwajuiNaona unakomaa na the weekend..lakini ukweli ni kwamba hit kali zimepungua sana Kwa USA..niambie wimbo Gani wa marekani umevuma Africa kama tswala bam ya south Africa..
Kipindi Cha nyuma USA walikuwa watoa Ngoma za Dunia..unaikumbuka all the way up..ya akina fat joe..unakumbuka classic ya jidenna.. Ngoma za akina richka homie Quan..sijaongelea hit za miaka ya 2000 ilikuwa balaa zito dilemma ya Nelly..akina 50..jarule..Eminem..R.kelly..
Kuna hit Gani kama New York ya jarule fat joe na Jadakiss Kwa sasa..au make it rain ya fat joe..tukubali ukweli
Zilivuma Africa unataka kuniambia hiyo nyimbo ndio ilivuma sana sema imevuma south afrika na Tanzania maana nyie ndio mnapenda amapiano zaidi south side zimevuma Ngoma kibao tu kuliko hiyo Tshwala bam ngoja nikupe link ukatizame YouTubeNaona unakomaa na the weekend..lakini ukweli ni kwamba hit kali zimepungua sana Kwa USA..niambie wimbo Gani wa marekani umevuma Africa kama tswala bam ya south Africa..
Kipindi Cha nyuma USA walikuwa watoa Ngoma za Dunia..unaikumbuka all the way up..ya akina fat joe..unakumbuka classic ya jidenna.. Ngoma za akina rich homie Quan..sijaongelea hit za miaka ya 2000 ilikuwa balaa zito dilemma ya Nelly..akina 50..jarule..Eminem..R.kelly..
Kuna hit Gani kama New York ya jarule fat joe na Jadakiss Kwa sasa..au make it rain ya fat joe..tukubali ukweli
Ila ujue mkuu mwaka jana Beyonce alikimbiza sana kwenye tour zake kapiga sana hela kwa mwaka huu hamna msanii alievunja rekodi ya Beyonce upande wa tour kwa mwaka jana na alikuja na Album yake inaitwa Cowboy Carter mwaka huu imepiga hela na bado ana
Renaissance World Tour inaendelea
Taylor Swift ni Miley Cyrus aliyechangamka. Wasanii wa media houses, wakupikwa.Mkuu HAKUNA MSANII anaemfikia Taylor Swift kwenye mauzo ya album, tuzo ama tours. Ndio huyo wanaemtengeneza kuwa the next Michael Jackson
Sasa niambie uyo Taylor ana nini zaidi ya kuwa average singer, writer and peformer. Hilo linatosha kukwambia kuwa muziki wa marekani umedrop
Haufuatilia muziki vizuri....muziki umebadilika. Kama wewe ni wa 74 taste ya vijana wa sasa imebadilika.
Flowers ya mwaka Jana tu ya Miley ina views karibu bilioni moja YouTube.
Hip hop ndiyo usiseme imebadilika hatari.
Sijui mna akili gani za mziki hadi tunatumia nguvu nyingi kuelekezana.View attachment 3185487
sawa mkuu
Hoja yako hasa ni nini mkuu 😃😄 mziki ni number mkuu kama utapataje hit song bila numberSijui mna akili gani za mziki hadi tunatumia nguvu nyingi kuelekezana.
Kama unatazama ubora wa mziki kwa number of streams basi Michael Jackson album yake ya mwisho ni 2001 na kafariki 2009 ila monthly listeners ana 44M Spotify, kwahiyo MJ mziki wake ni bora kwenye hizi 2020s ambapo wala hakuwepo duniani?
We mkuu umesahau balaa la unforgettable la French Montanna la mwaka 2017 April. Lile lilikuwa balaa si kidogo kila mahali duniani kote watu wanaimba unforgettable.Habarini,
International hit songs za mwisho mwisho nlizosikia toka usa ni rockabye ya clean bandit, cheap thrills ya sia, labda niiweke summer ya Calvin Harris, sorry ya Justin Bieber baada ya hapo ni kimya.
Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013 nlikuwa sina smartphone ila ilikuwa ni hit song from hit song toka usa, kina rihana, Bruno Mars, Justin Timberlake, pitbull ft marc Anthony, neyo, Chris brown, lmfao party rock anthem, maroon 5 moves like jagger, Jennifer Lopez, Niki minaj, usher, walikuwa wanatoa nyimbo zinazohit kweli kweli, nilikua sina simu janja ila nyimbo nikiisikia mtaani mara moja nitatamani kuitafta tena
Sahiv naona nyimbo zinazo hit hapa bongo ni nyimbo toka Nigeria, nlijaribu kuangalia bet awards juzi kati, na nime- search YouTube songs zilizo hit kule USA, naona wasanii wa USA sahivi wanaimba upuuzi tu.
Kuna mwingine anawaza ninavowaza?
Extrovert Lamomy Joannah mshamba_hachekwi atug Evelyn Salt DeepPond mzabzab Poor Brain To yeye Equation x Damaso Nikifa MkeWangu Asiolewe The only
Na kila wakijaribu kumuweka kwenye sentence moja na Whitney au Michael Jackson Wanaambulia matusi. Walichofanikiwa ni kumlinganisha na Beyonce ambaye sio writer.Taylor Swift ni Miley Cyrus aliyechangamka.lm fdy Wasanii wa media houses, wakupikwa.
Wewe kaa kimya haujui mziki kwanza unasema after hours sio hit song