Tangu mwaka 2017, naona kama hakuna international hit song yoyote toka marekani

BIASHARA YA MUZIKI MAREKANI INAKUFA KWASABABU YA LAANA YA KUMWAGA DAMU ZA WANAMUZIKI KWA KUWAUWA KWA RISASI
 
Ndio mbona ipo vizuri sana au ujatizama huko Spotify inavyopiga maokoto
Kumbe unalinganisha ubora wa kitu kwa bei na mauzo. Sasa wasisikilize hiyo album wasikilize kitu gani wakati wasanii waliopo sasa hivi ni mid?

Sasa hivi Kendrick Lamar akitoa album hata iwe mbovu vipi watasikiliza sababu hakuna option nyingine kali. Ila waliokuwepo early 2000s wataelezea Nelly atoe album, hapohapo 50 Cent, kidogo tena Jay-Z, Eminem atoe EP, Nas nae yumo, Ja Rule, Snoop Dogg.

Rap songs za mid 2010s kipindi Future anapiga hook, Lil Wayne yuko na kina YMCMB na Birdman, Young Thug yuko na Rich Gang, Drake hashikiki, J Cole na Kendrick wako juu. Hiyo moment ndio uilinganishe na hawa marapa uchwara kina Jack Harlow?
 
Kukua kwa mziki wa Africa kumefanya pia tusifocus kwenye miziki yao sana kamazamani....saivi top 20 za Bongo asilimia kubwa ni nyimbo zetu
 

sawa mkuu
 
MJADALA UFUNGWE UMEMALIZA KILA KITU
 
Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013
Yaani umegusa mule mule hicho kipindi kilikuwa moto sana kwa hits, hadi leo ndo playlist nazosikiliza aiseee.

Za miaka ya sasa international hits ni chache sana kama “All my life” jcole.
 
Yaani umegusa mule mule hicho kipindi kilikuwa moto sana kwa hits, hadi leo ndo playlist nazosikiliza aiseee.

Za miaka ya sasa international hits ni chache sana kama “All my life” jcole.
Nimetoka kupitia Spotify 2024 Wrapped yangu my top 20 songs mwaka huu kuna nyimbo mbili tu za hivi karibuni, Count me Out ya Kendrick Lamar na Oh you Went ya Young Thug ft. Drake.

The rest ni rap songs za miaka ya nyuma. Kuna wakurupukaji fulani walidai eti Cardi B ni zaidi ya Nicki Minaj, wakati hata hamkaribii. Eti Jack Harlow naye anapata BET ya Hip Hop 😂

Wokeism
 
Barbie world ya Nikk Minaj na Ice spice...Labda muziki wetu umekua pia......
Unaonekana una tatizo la kutokujua hata hit songs ni nyimbo za aina gani. Barbie world ya ice spice na onika tanya maraji sio hit song.
 
Nilidhani nazeeka peke yangu ahaha kumbe tupo wengi
 
Upo sahihi kwa sasa hivi wasanii wa marekani hawatoi international mega hit songs nyingi kama zamani kwasababu wasanii wa sasa hivi uwezo wao ni mdogo na wanategemea sana hype,kiki na scandals kufanya nyimbo zao ziende mjini kuliko vipaji vyao.

Kwa hakika kuanzia mwaka 2018 kurudi nyuma zilitoka ngoma kali sana,zikahiti sana na hata watoto wadogo walizijua ngoma hizo leo hii hakuna kitu ni matusi na mbususu nje nje.

×Unaikumbuka kiss me through the phone ya soldier boy?
×Unaikumbuka heartless ya kanye west?
×Unaikumbuka black and yellow ya wiz khalifa?
×Unaikumbuka classic men ya jidena?
×Unaikumbuka wigo wigo ya jason darulo?
×Unaikumbuka empire state of mind ya hov na miss alicia aka mrs swiz beatz?
×Coming home ya mla viboga diddy na skyler grey?
×Storm is over now ya pedophile r kelly?
×Temperature ya sean paul je? church anthem je? disco inferno je? i need a doctor je? usiniambie hizi zote za zamani let me love u je ya tolly renz? see u again ya wiz khalifa na charlie puth? high school je?
 
Zipo zingi mbn😆
 
Haufuatilia muziki vizuri....muziki umebadilika. Kama wewe ni wa 74 taste ya vijana wa sasa imebadilika.

Flowers ya mwaka Jana tu ya Miley ina views karibu bilioni moja YouTube.

Hip hop ndiyo usiseme imebadilika hatari.
Views siyo issue,jamaa muziki wao ni shudu siku hizi
 
Ni kweli aisee
 
Tour wasanii kibao wa wazamani wanafanya kwa kutumia base ya mashabiki wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…