Tangu mwaka 2017, naona kama hakuna international hit song yoyote toka marekani

Zipo nyingi labda siyo za taste yako kwa vile hit kubwa sasa ni za waimbaji wa kike.


View: https://www.youtube.com/watch?v=eVli-tstM5E

View: https://www.youtube.com/watch?v=Sl6en1NPTYM
Huu wimbo hapa chini ni wa mnigeria lakini unajulikana sana kwenye vituo vya redio marekani kama wa Selena Gomez


View: https://www.youtube.com/watch?v=WcIcVapfqXw
 
Hizi zote sio hit songs labda kama hamjui hit songs ni nyimbo za aina gani.
Wewe kaa kimya haujui mziki kwanza unasema after hours sio hit song😃😄😄😄😃😃😃😃 Daby unamuelewa huyu jamaa kwanza anamjua hata the Weeknd huyu au kadandia mada
 
Wewe kaa kimya haujui mziki kwanza unasema after hours sio hit song😃😄😄😄😃😃😃😃 Daby unamuelewa huyu jamaa kwanza anamjua hata the Weeknd huyu au kadandia mada
Naona unakomaa na the weekend..lakini ukweli ni kwamba hit kali zimepungua sana Kwa USA..niambie wimbo Gani wa marekani umevuma Africa kama tswala bam ya south Africa..
Kipindi Cha nyuma USA walikuwa watoa Ngoma za Dunia..unaikumbuka all the way up..ya akina fat joe..unakumbuka classic ya jidenna.. Ngoma za akina rich homie Quan..sijaongelea hit za miaka ya 2000 ilikuwa balaa zito dilemma ya Nelly..akina 50..jarule..Eminem..R.kelly..
Kuna hit Gani kama New York ya jarule fat joe na Jadakiss Kwa sasa..au make it rain ya fat joe..tukubali ukweli
 
Nyie sijui mnataka hit Gani mnapima hit kwa vigezo Gani usikute hata nyimbo hizi na wasanii Hawa huwajui


View: https://youtu.be/cF1Na4AIecM?si=g-XlJMIcS8rksvAi

View: https://youtu.be/ekr2nIex040?si=yQ4Wt0_0_8VW5DMQ


View: https://youtu.be/G7KNmW9a75Y?si=VenkmFKXRpYHfsaA
 
Zilivuma Africa unataka kuniambia hiyo nyimbo ndio ilivuma sana sema imevuma south afrika na Tanzania maana nyie ndio mnapenda amapiano zaidi south side zimevuma Ngoma kibao tu kuliko hiyo Tshwala bam ngoja nikupe link ukatizame YouTube


View: https://youtu.be/g_hgm2Mf6Ag?si=W559_qfiV63js09r

View: https://youtu.be/TtZlEzaXm48?si=9p2RxIn4kZD6kUNg

View: https://youtu.be/Ue4G12_m5eI?si=vSS4EdCKNCUc_uVz

View: https://youtu.be/qrTC_pBFt3o?si=Td027ONxanpfvC_x
 

Mkuu HAKUNA MSANII anaemfikia Taylor Swift kwenye mauzo ya album, tuzo ama tours. Ndio huyo wanaemtengeneza kuwa the next Michael Jackson

Sasa niambie uyo Taylor ana nini zaidi ya kuwa average singer, writer and peformer. Hilo linatosha kukwambia kuwa muziki wa marekani umedrop
 
Taylor Swift ni Miley Cyrus aliyechangamka. Wasanii wa media houses, wakupikwa.
 
Haufuatilia muziki vizuri....muziki umebadilika. Kama wewe ni wa 74 taste ya vijana wa sasa imebadilika.

Flowers ya mwaka Jana tu ya Miley ina views karibu bilioni moja YouTube.

Hip hop ndiyo usiseme imebadilika hatari.

Muziki wa marekani umedrop ndio maana soko lao kwa sasa wanajaribu kuweka genres zingine mfano kushirikisha sana afro beatz au latina artists ili mambo yaende vizuri.

Angalia tu pop star wa sasa ni Taylor Swift ambaye anavunja kila rekodi lakini yupo average kwenye kila kitu ila whites wanamkubali sana. At least wanafurahia white person kutawala muziki

Hakuna black pop star mpya kwa sasa, Beyonce anafurukuta lakini wapi, Bruno Mars at least ana muziki na numbers, Rihanna kashaacha muziki, huyo SZA ni pure RnB, The weekend hana ukubwa wa kina MJ au hata Chris Brown kwenye prime yake. Wengine kama chloe Or victoria Monnet nai ni average

Haya kwa whites, huyo Billie Hellish sio cross over artists na sidhani kama ashawahi kuwa na mega success ya tours or anything outside marekani.

Mimi namuelewa mtoa mada maana kuna kipindi MAREKANI ndio ilikuwa inatoa global stars na muziki. Lakini leo hamna kitu na hiyo imesababishwa na soko la marekani kuendeshwa na digital streams lakini pia kujali likability and controversies za mitandaoni kuliko pure talents. Mtasema ni uzee ila hata wamarekani wanajua muziki wao umedrop sana, sanaaa kwenye UBORA
 
Sijui mna akili gani za mziki hadi tunatumia nguvu nyingi kuelekezana.

Kama unatazama ubora wa mziki kwa number of streams basi Michael Jackson album yake ya mwisho ni 2001 na kafariki 2009 ila monthly listeners ana 44M Spotify, kwahiyo MJ mziki wake ni bora kwenye hizi 2020s ambapo wala hakuwepo duniani?
 
Hoja yako hasa ni nini mkuu 😃😄 mziki ni number mkuu kama utapataje hit song bila number
Nimekwambia kuhusu album ya Beyonce mpya huijui na juzi kafanya show NFL pengine hata hujui kuhusu NFL
 
We mkuu umesahau balaa la unforgettable la French Montanna la mwaka 2017 April. Lile lilikuwa balaa si kidogo kila mahali duniani kote watu wanaimba unforgettable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…